Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Counter Assaul Team
![]()
Duuuh....!!, Mazee, hawa jamaa wanabeba kilo ngapi vile popote walipo?!!
Jamaa karundika vyuma utafikiri amekula sumaku ya kiwandani na kujipitisha pale Gerezani Kariakoo!! Yaani jitu limebeba karakana nzima...
Notre Dame
![]()
Njemba mbili upande wa kulia wa Obama.
![]()
![]()
What about Tanzania?
Icadon,
Hiyo siku hapo juu nilicheka sana.........maana ilibid jamaa naye avikwe u "PhD" fulani.....lakini kipara chake na ule u-serious wake haujifichi....inabidi abadilishwe sasa...........au?
Wenyewe wanadai inahatarisha usalama wa taifa...weekend njema.
Ni Tanzania tuu ndio tunaaminishwa kuwa walinzi wa viongozi hawatakiwi kujulikana. Ningefurahi sana kama watu wa PSU wangekuwa wanakuja kwenye hii thread na kutuelezea mawili matatu kuhusu kazi zao za kila siku. Na hatutokwenda nje ya OPSEC.