Inafikirisha....Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
View attachment 3042154View attachment 3042155
Who caresHili ka Trump inaonekana kama ni stage assassination.
Tukio lingekwenda simuliteniasly na kukamatwa wapinzani woteIngekuwa Tanzania ungesikia watu wapo kwenye viroba tu
Jaribu uoneYaani Tanzania political violence kwa viongozi ni ndogo sana...
Kwa Ulinzi wa Samia unatuma one way drone 1 kwisha habari tena wanavojaaga wote kwenye uzinduzi.
We need to learn
Chodaachodaa kwañI huo ulinganifu mbona tukio moja unapotosha kwa manufaa ya nani1😅Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
View attachment 3042154View attachment 3042155⁸
Wale walinzi walikuwa slow sana kwenye kureact alafu sijaona kama walikuwa na kitu chochote cha kumguard jamaa zaidi ya kuweka miili yao kama ngao.Trump amerusha ngumi hewani huku akitamka "faken" mara tatu kabla ya kuondoka eneo la tukio.