dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Ukisikia ngamia kupenya tundu la sindano ndio kama hivyo! Risasi imetoboa sikio kutokea mbele ikapitiliza nyuma kwenda kuua mtu mwingine huko! Hatari sana.Wale walinzi walikuwa slow sana kwenye kureact alafu sijaona kama walikuwa na kitu chochote cha kumguard jamaa zaidi ya kuweka miili yao kama ngao.
Wamekuwa kama bongo movies bwana.