Walinzi walivyoitikia tukio la kupigwa risasi Rais Ronald Reagan wa Marekani, linganisha na tukio la Trump

Walinzi walivyoitikia tukio la kupigwa risasi Rais Ronald Reagan wa Marekani, linganisha na tukio la Trump

Hizo ni interpretations tu. Msitake matukio yafanane kila kitu.

Trump alikuwa akihutubia lakini Regan yeye alikuwa akitembea barabarani.

Kuna mambo mengine mengi sana ya kuzingatia.
Kabisa, mazingira tofauti kabisa hayo
 
Kwa nini isiwe kinyume chake? Kwamba hao maafisa na sniper walipanga kumuua Trump ila lengo lao halikutimia?

Hivi mtu anaweza kubetia maisha yake kiasi kile kwa lengo tu la kujiongezea umaarufu kisiasa?

Kumbuka risasi iliukosa ubongo kwa sentimeta chache tu na kuna watu walijeruhiwa na kufa!
Hii ni drama zinatengenezwa na wataalam wa drama huko holly wood kila siku zinafanana na ukweli. Kwa wanasiasa kutafuta huruma ni kitu cha kawaida sana.
Iko siku utaelewa tu.
 
Kijana umenisikitisha sana hata ulinzi wa Mwinyi wakati anachabangwa Kofi ulikuwa Tofauti na wa Kikwete!

Rais Ronald Regan alikuwa madarakani hivo ulinzi wake lazima uwe mkali na analindwa kuliko chochote

Alafu Trump hata Tofauti na raia Wengine japo ana hadhi ya Rais mstaafu, hivo angefariki wala kusinge gharimu Taifa Kama ambavyo anavyo fariki Rais aliyeko Madarakani,

Chungulia Ulinzi wa Jakaya na SAMIA


Britanicca
umeandika ukwel kbs ila Trump kifo chake kingezua taharuki ndani ya amerika na maadui wangetumia kama fursa kukuza taharuki kwa kuwawezesha walalamikaji , kwasasa Amerika ipo kwenye wakati mgumu kuwai kutokea na kama wasimtoa Biden na kumweka mtu mwingine nje na Trump bas huu mgawanyiko ndan ya Amerika utakuwa mgubwa na utayakumbuka haya maneno baada ya miaka 5 mbele , mengi yataibuka ndani ya USA , kosa lao kubwa ni kukaribisha kila aina ya raia ndani ya taifa lao na hao ndo watatumika kukuza taharuki
 
Back
Top Bottom