Ukisikia ngamia kupenya tundu la sindano ndio kama hivyo! Risasi imetoboa sikio kutokea mbele ikapitiliza nyuma kwenda kuua mtu mwingine huko! Hatari sana.Wale walinzi walikuwa slow sana kwenye kureact alafu sijaona kama walikuwa na kitu chochote cha kumguard jamaa zaidi ya kuweka miili yao kama ngao.
Wamekuwa kama bongo movies bwana.
tukio sio moja na mazingira ni tafauti.Chodaachodaa kwañI huo ulinganifu mbona tukio moja unapotosha kwa manufaa ya nani1😅
PointReagan alikuwa Sitting president - the most powerful man..well more protected, more valued, namna alivyojeruhiwa na namna mfayatuaji alivyomimina...
Trump, ex president, no no longer valuable kama angekuwa yupo madarakani, risasi haikumpata vizuri - unafikiri jamaa angepiga jicho au angemfumua kichwa Trump angekuwa na nguvu za kunyanyua hata huo mkono..kikubwa na zaidi yupo kwenye kampaign za urais lazima atengeneze mazingira ya kutumia tukio kwa faida yake
Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
View attachment 3042154View attachment 3042155
na mgombea uraisi. Lazima ulinzi uwe tafauti. Hapo trump alipo ni kama Mzee wa ubwabwa Hashim Rungwe. Tafauti ni kwamba huyu alishakaa ikulu akatoka Sasa anataka TenaRais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
View attachment 3042154View attachment 3042155
Too Smart thoughtReagan alikuwa Sitting president - the most powerful man..well more protected, more valued, namna alivyojeruhiwa na namna mfayatuaji alivyomimina...
Trump, ex president, no no longer valuable kama angekuwa yupo madarakani, risasi haikumpata vizuri - unafikiri jamaa angepiga jicho au angemfumua kichwa Trump angekuwa na nguvu za kunyanyua hata huo mkono..kikubwa na zaidi yupo kwenye kampaign za urais lazima atengeneze mazingira ya kutumia tukio kwa faida yake
Watakuwa na bullet vests haoWale walinzi walikuwa slow sana kwenye kureact alafu sijaona kama walikuwa na kitu chochote cha kumguard jamaa zaidi ya kuweka miili yao kama ngao.
Wamekuwa kama bongo movies bwana.
Kwa nini isiwe kinyume chake? Kwamba hao maafisa na sniper walipanga kumuua Trump ila lengo lao halikutimia?Hao walipanga tu kutafuta kura za huruma, na sasa ndio kaharibu hazipati tena? Yani hiyo timing ya hao secret service kumuua huyo mtuhumiwa ndiyo inanishangaza, yani walikuwa na uhakika kwamba yeye ndiye aliyempiga risasi ndani ya sekunde kadhaa na wakawa wameshamuua.
Na ukiangalia sniper na spotter wake walikuwa wanajiandaa kabisa hata kabla ya tukio. haya maigizo ya holly wood au tuite bongo wood kabisa.
AisseeRais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
View attachment 3042154View attachment 3042155
Unajua nasemaga Rais wetu Watu hawajamtafutaga tu
Umetumwa?Yaani Tanzania political violence kwa viongozi ni ndogo sana...
Kwa Ulinzi wa Samia unatuma one way drone 1 kwisha habari tena wanavojaaga wote kwenye uzinduzi.
We need to learn
Mbona yule aliyepiga risasi naye alipigwa ndani ya sekunde ile ile? Huo u slow mnauzungumzia upi? Au yule snipper hamchukulii kama sehemu ya walinzi? Wabongo bwana!Wale walinzi walikuwa slow sana kwenye kureact alafu sijaona kama walikuwa na kitu chochote cha kumguard jamaa zaidi ya kuweka miili yao kama ngao.
Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
View attachment 3042154View attachment 3042155
Ndo maana nikasema jobless sasa wamepata story ya kusukumia muda vijiwenUsikonde,
Story huwa zinapigwa tu wakati wote, kama sio hizi basi za Simba na Yanga, Chama, Adhidhi Ki