Walinzi walivyoitikia tukio la kupigwa risasi Rais Ronald Reagan wa Marekani, linganisha na tukio la Trump

Hizo ni interpretations tu. Msitake matukio yafanane kila kitu.

Trump alikuwa akihutubia lakini Regan yeye alikuwa akitembea barabarani.

Kuna mambo mengine mengi sana ya kuzingatia.
Kabisa, mazingira tofauti kabisa hayo
 
Hii ni drama zinatengenezwa na wataalam wa drama huko holly wood kila siku zinafanana na ukweli. Kwa wanasiasa kutafuta huruma ni kitu cha kawaida sana.
Iko siku utaelewa tu.
 
umeandika ukwel kbs ila Trump kifo chake kingezua taharuki ndani ya amerika na maadui wangetumia kama fursa kukuza taharuki kwa kuwawezesha walalamikaji , kwasasa Amerika ipo kwenye wakati mgumu kuwai kutokea na kama wasimtoa Biden na kumweka mtu mwingine nje na Trump bas huu mgawanyiko ndan ya Amerika utakuwa mgubwa na utayakumbuka haya maneno baada ya miaka 5 mbele , mengi yataibuka ndani ya USA , kosa lao kubwa ni kukaribisha kila aina ya raia ndani ya taifa lao na hao ndo watatumika kukuza taharuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…