Walio apply udzm 2012 soma hapa


ili kuondoa utata we ungeyaweka majina 2 ili kukata mzizi wa fitna, vp wewe umepata pande zp
 

duuh!!!
 
Ze duduz upo sahihi mwaka huu pcm wamefaulu sana nenda angalia matokeo ya pcm ktk shule mbalimbal ondoa specialskuli
 
ze duduz, hivi kama kuna shule zinazochukua wenye i na two za kuhesabu tbrboys, sasa kwa nin kusiwe na chuo cha i na ii?
 
Sasa ndugu ulieanzisha mada fanya kuya post ayo majina uliyonayo kwenye jamvi na kufanya ivo ndo utaondoa ubishi uliopo
 
Yani ze duduz umempasuapasua kabisa perry ! Nahisi hadi kahama hadi jukwaa !
 
zee duduuuuuz. . .ze duuuuduuz. . .duduuuuu. . . . .z. . . .muda umefika,tendea haki jamvi.
 
Kama wewe hujapata one pole watu tumetupia one ,div3 ni bora muombe ruco,tumaini n.k,udsm ni div i na ii tena ya kumi!
mi nna one ila kwa ulichosema nakupinga!! afu kwenye blue..nadhan umekosea mkuu,jf wako weng na sio wote wana div1 au 2 kma wewe..so hiyo kauli kwenye blue nadhan unaumiza watu bila kujua!! nawakilisha...
 
lordville,kaka samahan ni harakat za kuleta chalenji humu jf! dah samahani sana lordville
 
Mabishano hayana maana na tambo za one or three hazina faida,zaidi duduz maliza kwa kupost names kuipa uzi mashiko over!
 

hivi jamani kaka zetu geology na Acturial ili mtu wa EGM asome anahitaji awe na vigezo gani help us??
 
kaka mbna umetumiwa majina yetu ila hatuoni ukiyapost ndo tumetemwa nn?
 
ndio hivo madarasa yale yale wahadhiri wale wale vitabu vile vile,wanafunzi wameongezeka,hivo hakuna namna,usikate tamaa apply next yr
 
Chuo mnaanza lini? imefika wakati tena wa kunasa newcomers! huwa raha sana na ugeni wao vyuoni basi kama kuokota kumbikumbi vile!
 
Heri yangu nasubiri vyuo vya kata wale wa ud naona presha juu poleni.
 
kwa wale walioapply kozi mbalimbali mlimani click link hiyo kuangalia kama umechaguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…