Walio apply udzm 2012 soma hapa

Walio apply udzm 2012 soma hapa

mmh kaka maisha ya pale ka uzunguni yaani wale wakina dada wanavyojiachia vile kweli kuna kuxoma kweli?? Afu kwenye discussn wakina dada wanakuja na night dress huku vile viembe dodo vinarukaruka pale kifuani hv kunakuelewa kweli?? Afu kuhusu zile nguo zao za kule nanii?? Wanavyozianika kwenye kamba Nahc huwa zinawatoa udenda wanaume !! Xaxa swali linakuja hv pale huwa amu practice kale ka mchezo kabaya?? Siku iyo niliamua kufanya research ya ukweli kuzungukazunguka kwenye magari yaliyokuwa yamepaki ?? Mamaah weee nikakuta wa2 wananyonyana ama kweli maisha ya chuo ni anasa??

Ile ndo Udsm, kila kitu inabidi uchukulie kawaida, watu wanafanya ufuska wote ila mwisho wa siku hudhuria seminar, test na UE, lecture watu hawaendi sometime, pale parking siku umeme ukikatika unaweza hisi upo ambiance au kimboka! Hakuna shida dogo njoo tu Udsm(peak of knowledge) Perry anapatamani sana Udsm...kama vp aje asomee hata mdegree pale!
 
ahsante sana kaka !! Umeona perry alivyo na hamu ya udzm
 
Mods futeni post zisizo kua na maana kila post ni tcu tu.
 
Ebana nimeona kaka na nimeamini wanobisha waendelee kubisha tu ila kitu kipo!

kama vp ya post hapa tuyaone sisi wenyewe tuna hamu ya kuyafahamu au kama nini check jina la Rajab S hussein, niliomba bachelor education with phychology,bachelor education in early childhood education na bachelor education in adult and continue education
 
Rajab husein wa tanga kasoma mwanga huyo ni vp mkuu!
afu wewe si ulisema yametoka kwenye gazet la IJUMAA sasa mbona unauliza tena majina si uende ukacheki kwenye gazet la ijumaaa????!!!!
 
Jaman jaman kwel cha udsm hata me me nmekiona mmmmmmh balaaaa 2pu.....,..
 
Back
Top Bottom