Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa.
Leo amejitokeza hadharani Steve "Nyenyere" akisifia tozo na kwamba bila Tozo Tanzania itafilisika! Hawa Watu wangetafuta basi hata Watu wenye uelewa Kidogo, huyu Hana tofauti na yule msanii aliyesema Mlima Kilimanjaro uko Arusha.
Ikitokea siku TOZO zikafutwa, ataweka wapi sura yake?