Walioandaliwa kuipigia "debe" Tozo waanza kujitokeza, leo ni Steve "Nyenyere"

Walioandaliwa kuipigia "debe" Tozo waanza kujitokeza, leo ni Steve "Nyenyere"

Kuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa.....

Leo amejitokeza hadharani Steve "Nyenyere" akisifia tozo na kwamba bila Tozo Tanzania itafilisika! Hawa Watu wangetafuta basi hata Watu wenye uelewa Kidogo, huyu Hana tofauti na yule msanii aliyesema Mlima Kilimanjaro uko Arusha
Hapo ashaingiza posho yake Safi....uchawa unalipa ukijitoa akili.

Fursa hiyo wakuu, changamkieni
 
Attachments

  • 20220214_162937.jpg
    20220214_162937.jpg
    26.6 KB · Views: 3
  • 20220214_115511.jpg
    20220214_115511.jpg
    82.9 KB · Views: 3
Haka kajamaa kalikochanganyikiwa haka kapigwe ban kutumia jina la Mwl. Mwl Anaheshimika ndani na nje, Sasa mtu kama huyu kwa Nini anamdhalilisha na sisi tuko kimya? Haiwezekani..
 
Ni dhambi na aibu kwa familia kwa kijana kuwa mpumbavu kiasi cha kutoka hadharani kutetea ujinga.

Ifike mahala wale tunaokutana na watu kam a hawa kuwaambia ukweli kwamba mtu huyu ni mpumbavu au wewe fulani ni mpumbavu na mjinga.

Aibu hii inakwenda mpaka kwenye familia maana mmoja wa wana familia yuko tayari kutetea upumbavu ili yeye apate hela akanywe pombe na kuhonga malaya, Mtu huyu ili aishi lazima atetea dhulma na kila aina ya ujinga, hii ni dhambi na ni aibu kubwa kwa mtu huyu, "USELESS GUY"

Vijana wote tunapaswa kwenda kwenye account kokote kule na kumshambulua kijan a huyu iwe facebook, tweeter, Insta nk, aambiwe yeye ni mpumbavu na hafai kuwa sehemu ya jamii inayojielewa, Wazazi wake wamepata aibu kubwa dhidi yake, na anachokitetea ni mateso kwa jamii yake leo na kesho.
Umenena vyema sana sana! I wish kila mtu angesoma hapa
 
Kuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa.....

Leo amejitokeza hadharani Steve "Nyenyere" akisifia tozo na kwamba bila Tozo Tanzania itafilisika! Hawa Watu wangetafuta basi hata Watu wenye uelewa Kidogo, huyu Hana tofauti na yule msanii aliyesema Mlima Kilimanjaro uko Arusha
Nitaongea na best amnyime dawa akienda kuchukua Kilosa
 
Back
Top Bottom