Walioandaliwa kuipigia "debe" Tozo waanza kujitokeza, leo ni Steve "Nyenyere"

Walioandaliwa kuipigia "debe" Tozo waanza kujitokeza, leo ni Steve "Nyenyere"

Unatuletea ushuzi wake humu kutujazia server na kutumalizia MB zetu mkuu? Unatukosea sana
Samahani kama nimekosea Mpwa, nilitaka wale wanaotumia internet ya Kazini waione Ili wa download mara Mbili mbili
 
Kulala kwetu ndio kunatoa mwanya kwa wapumbavu kama huyu kuja mbele na kuzungumza, tutakapokuwa wakali kila mahala, basi mpumbavu na wapumbavu kama huyu hakuna wawezapo kusimama na kuongea "ufalasi jazz band"
 
Leo nilikuwa namsikiliza Mzee Malecela kupitia TBC amefafanua vizuri tu.

Kasema Tozo zilikuwepo tokea zamani na zilikuwa hazimuumizi Mwananchi.tofauti na hizi za leo.
CCM wamemtumia Mzee vibaya
 
20220819_123731.jpg
 
Tanganyika inapaswa sasa kuwa mali ya watanganyika kwa maana ya wananchi, tukihitaji wakati wowote tunabadiri uongozi.

Tukiendelea na sisi kuwa wapumbavu kubaki kwenye keyboard tunaenda kutiwa vidole kila mahala, tusimame sasa wanaume kwa wanawake kwa wingi wetu tuseme NO.
 
At least wangetafutwa wenye uelewa wa mambo kidogo basi
Si ndiyo hapo maana hapo hata anachongeaa haeleweki.

Hakuna mtz anayepinga kulipa tozo.

Au kodi,ila watu wana hoji matumizi na tozo kupunguzwa.

Sasa wanampa chawa huyo frm kuwadi kuzungumza masuala ambayo yKo nje ya uwezo wake kuelezea
Nchi hii inakuwaga na mambo ya ajabu sana

Ova
 
Back
Top Bottom