Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Ndio maana tunapambana kujenga mifumo imara ili hata ikitokea Steve Mengele akawa rais, nchi iweze kujiendesha yenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimwona hata ongea yake unagundua mara moja kuwa kichwani kuna shida!Ni dhambi na aibu kwa familia kwa kijana kuwa mpumbavu kiasi cha kutoka hadharani kutetea ujinga.
Ifike mahala wale tunaokutana na watu kam a hawa kuwaambia ukweli kwamba mtu huyu ni mpumbavu au wewe fulani ni mpumbavu na mjinga.
Aibu hii inakwenda mpaka kwenye familia maana mmoja wa wana familia yuko tayari kutetea upumbavu ili yeye apate hela akanywe pombe na kuhonga malaya, Mtu huyu ili aishi lazima atetea dhulma na kila aina ya ujinga, hii ni dhambi na ni aibu kubwa kwa mtu huyu, "USELESS GUY"
Vijana wote tunapaswa kwenda kwenye account kokote kule na kumshambulua kijan a huyu iwe facebook, tweeter, Insta nk, aambiwe yeye ni mpumbavu na hafai kuwa sehemu ya jamii inayojielewa, Wazazi wake wamepata aibu kubwa dhidi yake, na anachokitetea ni mateso kwa jamii yake leo na kesho.
Watoke wapi sasa wakati wote wako hivyo.At least wangetafutwa wenye uelewa wa mambo kidogo basi
KweliCcm hawana aibu
Kinachonishangaza ni vyombo vya habari kumpa coverage kubwa mtu asiye na uelewa wala hadhi!Kuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa.
Leo amejitokeza hadharani Steve "Nyenyere" akisifia tozo na kwamba bila Tozo Tanzania itafilisika! Hawa Watu wangetafuta basi hata Watu wenye uelewa Kidogo, huyu Hana tofauti na yule msanii aliyesema Mlima Kilimanjaro uko Arusha.
Ikitokea siku TOZO zikafutwa, ataweka wapi sura yake?
View attachment 2347775
HahahaHalafu unakuta kalamba posho ambayo ina makato ya tozo anaumia kimoyo moyo huku mdomoni akizungumza uongo.
MUNGU atatupigania Nasi tutanyamaza kimyaHivi jamani wote tukiwa chawa, sijui nchi itajengekaje. MUNGU WA MBINGUNI TUHURUMIE HATA KIDOGO BASI.
Kwa CCM Huyo NDIO think tank waoKinachonishangaza ni vyombo vya habari kumpa coverage kubwa mtu asiye na uelewa wala hadhi!
Hivi kweli Steve ni mtu wa kumnukuu unapojenga hoja!
YKuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa.
Leo amejitokeza hadharani Steve "Nyenyere" akisifia tozo na kwamba bila Tozo Tanzania itafilisika! Hawa Watu wangetafuta basi hata Watu wenye uelewa Kidogo, huyu Hana tofauti na yule msanii aliyesema Mlima Kilimanjaro uko Arusha.
Ikitokea siku TOZO zikafutwa, ataweka wapi sura yake?
View attachment 2347775
A painful fact
Aibu kubwa sanaKinachonishangaza ni vyombo vya habari kumpa coverage kubwa mtu asiye na uelewa wala hadhi!
Hivi kweli Steve ni mtu wa kumnukuu unapojenga hoja!
Serikali imemtuma Steve kuwafokea Watanzania.Kuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa.
Leo amejitokeza hadharani Steve "Nyenyere" akisifia tozo na kwamba bila Tozo Tanzania itafilisika! Hawa Watu wangetafuta basi hata Watu wenye uelewa Kidogo, huyu Hana tofauti na yule msanii aliyesema Mlima Kilimanjaro uko Arusha.
Ikitokea siku TOZO zikafutwa, ataweka wapi sura yake?
View attachment 2347775
Nilisha toa maelekezo kwamba baada tu stivu mengele kumaliza urojo wake angekamtwa pale pale au kutekwa usku na kupewa kipondo kitakatifu kwani kina stivu wana kinga gani mm mwenye goroko naweza kumdhibiti vibaya mno Kisha anatafuwa mwijaku yule wa clouds wamuendee na mafuta ya Nazi biashra yake inaisha Hhapo Hap kusifiania na kutetea ujinga utaisha tzKuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa.