Walioandaliwa kuipigia "debe" Tozo waanza kujitokeza, leo ni Steve "Nyenyere"

Kuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa.

Leo amejitokeza hadharani Steve "Nyenyere" akisifia tozo na kwamba bila Tozo Tanzania itafilisika! Hawa Watu wangetafuta basi hata Watu wenye uelewa Kidogo, huyu Hana tofauti na yule msanii aliyesema Mlima Kilimanjaro uko Arusha.

Ikitokea siku TOZO zikafutwa, ataweka wapi sura yake?

View attachment 2347775
Niliwahi kusikia jamaa anaipondea elimu na watu waliosoma sana eti hawana umaarufu kama wake.

Nilimdharau sana Steve . Yeye hajui hawezi kuigiza movie pasipo kutumia vitu au vifaa bya kisasa vya wanasayansi na hata ku-organize mambo yake pia inahitaji elimu.

Leo namuona tena anapondea wanaobeza tozo na kuisifia🤣🤣.

Kuna jamaa aliniambia usipoishi maisha ya kujipendekeza Kwa wakubwa utaishi JALALANI . Nikamwambia siwezi kuisaliti akili yangu hata kidogo
 
Kuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa.

Leo amejitokeza hadharani Steve "Nyenyere" akisifia tozo na kwamba bila Tozo Tanzania itafilisika! Hawa Watu wangetafuta basi hata Watu wenye uelewa Kidogo, huyu Hana tofauti na yule msanii aliyesema Mlima Kilimanjaro uko Arusha.

Ikitokea siku TOZO zikafutwa, ataweka wapi sura yake?

View attachment 2347775
Aisee
 
chapelle-charlie-murphy.gif
 
Tozo haihitaji kupigwa debe,

Tozo haihitaji kupigwa debe bali inajipigia..

Waliposema imejenga zaidi ya vituo vya afya 234 mkaanza kuhoji viko wapi? Mkawekewa Orodha vilipo sasa baada ya kuaibika mumeanza kitafuta excuses za kijinga..

Tozo zinaonekqna zenyewe kwenye afya,elimu,maji na barabara za Tarura Wala haihitaji kupigiwa debe.
 
You're arguing with a wrong person! Hold on a bit! Tafuta wa size Yako
 
Ujumbe umekufikia baada ya aibu
Pumbavu kweli, okay unataka nikujibu? Okay, kama TOZO inajipigia debe yenyewe, so aliyemtuma Steve ni Nani? Usiwe mjinga kiasi jicho.

Vituo vya Afya? Au Majengo? Tena ambayo hayajaisha? Wewe ni Mpuuzi na mpumbavu!
 
Tozo haihitaji kupigwa debe,

Tozo haihitaji kupigwa debe bali inajipigia..

Waliposema imejenga zaidi ya vituo vya afya 234 mkaanza kuhoji viko wapi? Mkawekewa Orodha vilipo sasa baada ya kuaibika mumeanza kitafuta excuses za kijinga..

Tozo zinaonekqna zenyewe kwenye afya,elimu,maji na barabara za Tarura Wala haihitaji kupigiwa debe.
Nenda pale Makuburi Ubungo External, si kile ni Kituo kimojawapo mlichokiorodhesha? Nenda kaangalie kama ni Kituo au ni majengo Tena ndio kwanza Yako kwenye finishing, nyie mmelist kama kituo Cha AFYA. Wacha niishie hapa
 
Sasa sio kituo? Kwani nani kakuambia vituo vyote vimekamilika? Unajua idadi ya majengo yanayohitajika kwenye kituo Cha afya?

Swala ujenzi unafanyika au haufanyiki? Pili ni kituo kipya au cha Zamani?

Mwisho mwaka huu huu maelfu ya Vijana wanaenda kupata Kazi kwenye hivyo hivyo vituo..

Ndio maana kwenye bajeti ya mwaka huu wanamalizia vituo vya afya na kuleta vifaa tiba na wataalamu vinaaza Kazi..

Mwaka ujao ujenzi unaanza tena wa vingine hadi vyote 570 vikamilike by 2025..
 
Acha ujinga basi, soma mmepost Nini? Ina maana kabla ya Hapo hakukua na vituo vya Afya? Je hakuna source nyingine Hadi TOZO? NDIO mwisho wa creativity ya kupata fund za ujenzi? Usijitie ujuaji, vituo vilikua vinajengwa miaka yote, nothing new
 
Tulivyopigana na Idd Amin-Uganda, Taifa lilikuwa na vijana kwa wazee wenye kuipenda nchi yao na kuwa tayari kuifia usiku na mchana .

Nina mashaka sana na sisi vijana wa zama hizi kama hii morali tutakuwa nayo ya kulifia Taifa incase tukipata dharula.

Kuna vijana machawa na wasaka vyeo na wanaopenda kujipendekezapendekeza kwa wanasiasa ili wapate vyeo, hawa wengi shida yao ni maisha mazuri na incase of dharula huwezi kupeleka front line kupigania Taifa lao.

Kuna vijana wenye uchungu na nchi yao, hawa wamekata tamaa kutokana na dhulma zinazoendelea kila mahala sidhani kama watakuwa tayari au wako tayari kuwalinda wajinga wachache ambao hufaida neema ya nchi.
 
Ujumbe umekufikia baada ya aibu
Umemfikia KWa aibu ipi? Mnajificha kwenye kichaka kwamba tozo zimejenga vituo vya afya ,sijui zahanati ,sijui shule , mwafikili watanzania wajinga , leteni data hapa
Tanzania ina kata ngapi vijiji vingapi then

Then tueleze wakati wa kikwete alikuta zahanati ngapi , vituo vyao afya vingapi , shule za kata ngapi, aliongezea kiasi GANI tuone mapungufu,
Then njoo kwa mwana Chato tueleze hivyo hivyo na mapungufu yaliyokua yamebakia,

Then njoo serikali hii kwamba kabla ya tozo imejenga zahanati ngapi,vituo vya afya , shule za kata ,na mapungufu yaliyokua yamebakia, ambayo Sasa yamefanywa na tozo, ila msisahau taja ma mahali vilipojengwa au vinapojengwa

Sasa nyie mnakuja na porojo hapa, kana kwamba huwa mnajenga na kubomoa na kujenga upya,

Kuna Mambo watu mnaongea mpaka shetani anawacheka, na kumua msiwe upande wake , Hatari sana
 
Back
Top Bottom