Ujumbe umekufikia baada ya aibu
Umemfikia KWa aibu ipi? Mnajificha kwenye kichaka kwamba tozo zimejenga vituo vya afya ,sijui zahanati ,sijui shule , mwafikili watanzania wajinga , leteni data hapa
Tanzania ina kata ngapi vijiji vingapi then
Then tueleze wakati wa kikwete alikuta zahanati ngapi , vituo vyao afya vingapi , shule za kata ngapi, aliongezea kiasi GANI tuone mapungufu,
Then njoo kwa mwana Chato tueleze hivyo hivyo na mapungufu yaliyokua yamebakia,
Then njoo serikali hii kwamba kabla ya tozo imejenga zahanati ngapi,vituo vya afya , shule za kata ,na mapungufu yaliyokua yamebakia, ambayo Sasa yamefanywa na tozo, ila msisahau taja ma mahali vilipojengwa au vinapojengwa
Sasa nyie mnakuja na porojo hapa, kana kwamba huwa mnajenga na kubomoa na kujenga upya,
Kuna Mambo watu mnaongea mpaka shetani anawacheka, na kumua msiwe upande wake , Hatari sana