Walioandaliwa kuipigia "debe" Tozo waanza kujitokeza, leo ni Steve "Nyenyere"

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa.

Leo amejitokeza hadharani Steve "Nyenyere" akisifia tozo na kwamba bila Tozo Tanzania itafilisika! Hawa Watu wangetafuta basi hata Watu wenye uelewa Kidogo, huyu Hana tofauti na yule msanii aliyesema Mlima Kilimanjaro uko Arusha.

Ikitokea siku TOZO zikafutwa, ataweka wapi sura yake?

Your browser is not able to display this video.
 
Tozo ni msiba na ndio maana wametafuta huyu mhamasishaji wa michango ya misiba.
 
Bila kueleza Ile Tril 1.3 zimeenda wapi hatutawaelewa
 
Ni dhambi na aibu kwa familia kwa kijana kuwa mpumbavu kiasi cha kutoka hadharani kutetea ujinga.

Ifike mahala wale tunaokutana na watu kam a hawa kuwaambia ukweli kwamba mtu huyu ni mpumbavu au wewe fulani ni mpumbavu na mjinga.

Aibu hii inakwenda mpaka kwenye familia maana mmoja wa wana familia yuko tayari kutetea upumbavu ili yeye apate hela akanywe pombe na kuhonga malaya, Mtu huyu ili aishi lazima atetea dhulma na kila aina ya ujinga, hii ni dhambi na ni aibu kubwa kwa mtu huyu, "USELESS GUY"

Vijana wote tunapaswa kwenda kwenye account kokote kule na kumshambulua kijan a huyu iwe facebook, tweeter, Insta nk, aambiwe yeye ni mpumbavu na hafai kuwa sehemu ya jamii inayojielewa, Wazazi wake wamepata aibu kubwa dhidi yake, na anachokitetea ni mateso kwa jamii yake leo na kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…