Waliochaguliwa kuandaa mpango wa maendeleo 2050 wote wanaishi Mbezi Beach au Masaki, wanalishwa kwa kodi za umma miaka yote, wana umri zaidi ya 50 yrs

Pinga panga , pale ni typing error
 
yaani tunataka kutatua matatizo kwa kutumia watu walewale walioleta matatizo.
Hiyo pesa ya kununulia Hilo dila si tungewekeza Tu kwenye kuondoa tatizo la maji na kujenga matundu ya vyooo mashuleni?michongo miiingi utadhani tuko siriasi kweli.
 
Bila kuona orodha hii habari ni uzushi!
 
Labda jamaa anafikri unaenda kuandikwa wakiwa wamejifungia?
 
Na nyie mmekaa mnasubiri dira ya maendeleo kweli, wakati tatizo la msingi ni ubovu/upungufu kwenye sera zetu. Njoo na dira hata mia moja, zote zitakwama kwenye utekelezaji. Turekebishe sera zetu kwanza ndo tuje na hizo dira.
 
Nchi ipo na viongozi wajinga sana , unaweza jiuliza anafanya hivi kwa faida ya nani
 
Hujaelewa hoja ya mtoa mada, ajakataa academicians, hoja wale wangebaki kwenye uchakataji wa mawazo ya wadau muhim na ambao wapo kwenye hualisia
 
Maneno mazito kwa watu wenye Akili na wenye kujitambua !!
 
Hayo mambo ya dira ni ulaji tu
 
Shida yetu wala sio mipango, tuna mipango mingi mizuri sana. Tatizo letu ni utekelezaji wa mipango yetu.
Selfishness ndio tatizo kuu !!
Ndio maana wanakosa peace of mind kisha wanakuwa hawatosheki na chochote wanachokipata mpaka siku ya mwisho !!
 
Mtu aache kutengeneza dira ya maendeleo ya familia yake kwa miaka 50 ijayo, aje amtengenezee dira hiyo mtanzania wa kawaida?

Kwa nchi yetu ilo na kale kajamhuri ka wapigaji hiyo ni ndoto.

Nchi hii yahitaji full reset.
Si ndiyo hapo

Hii nchi inaenda bora liende tu

Ova
 
Leo kina shivji wanamsifu mwl wanamponda Jakaya, nani muasisi nani muishi
Nyerere ana kosa ametutendea. Ameulea na kuusimika mfumo kandamizi na chama jambazi kwa Watanzania.

Mimi namupna kama mtu aliyeidhibiti Tanzania na siyo kusimika taasisi zinazowajibika kwa nchi kwa maana ya ustawi, hadhi na utashi wa Taifa
 
yaani tunataka kutatua matatizo kwa kutumia watu walewale walioleta matatizo.
Nchi ya hovyo sana.

Yaani mifumo ya Serikali inatulazimisha tuamini kwamba hatma njema ya Tanzania ipo mikononi mwa CCM

Upumbavu wa karne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…