Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pinga panga , pale ni typing errorHakuna anayepinga dira ndugu yangu, kinachoulizwa, hivi ni ccm pekee yenye wataalam au Upinzani nao pia wapo? Hivi hao wataalam asilimia karibu 90 wote wamesome nje ya nchi, humu ndanu hakuna? msuguano wa mawazo ndo akili yenyewe, ili dira iwe na maana, Rais angewaalika wapinzani nao wawemo kwenye dira hiyo vinginevyo nao watatengeza yao na ndio itakuwa mwanzo wa malumbano baadala ya zile R4. Malumbano tumechoka, shirikisheni ndugu zenu watalaamu wa upande wa pili taifa lisonge mbele bila msuguano- Iweje , Mjusi, nguchiro, sungura, wote wanaishi kwenye kichuguu bila mkwaruzo ingawaje wote ni chakula cha mwenzake na sisi tushindwe na viumbe tajwa?
Hiyo pesa ya kununulia Hilo dila si tungewekeza Tu kwenye kuondoa tatizo la maji na kujenga matundu ya vyooo mashuleni?michongo miiingi utadhani tuko siriasi kweli.yaani tunataka kutatua matatizo kwa kutumia watu walewale walioleta matatizo.
Bila kuona orodha hii habari ni uzushi!Mhe. Waziri Kitila Mkumbo ametoa majina ya watu alioteua kutengeneza mpango wa 2050. Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda mbele, ni wake au watoto wa viongozi wa CCM, ni wanazuoni waliofundisha na kusoma naye chuo...........hizi siyo zama za giza ni zama za technology. Hakuna namna hawa wazee wanaweza kuweka projection za nchi kuendana na technology badala yake watakwenda kutuletea nadharia kwenye vitabu
Tulitegemea kuona wafanyabiashara, wataalam wa TEHAMa na watu wenye mafanikio kwenye jamii wakiwa Sehemu ya timu . Academia wangebaki kwenye technical team ya waandishi siyo wachakata hoja.
Tunaanza kufeli kupanga kama Ishara ya kufeli kufanikiwa...........nchi haiwezi ikapangiwa kila kitu na wakaazi wa mbezi beach inahitaji watu wa namtumbo, Kaperamsenga na Kipandaule washiriki pia.
Hawa watu wa masaki na Mbezi Beach wanawekwa kwenye mipango ya nchi ndio wanaotengeneza propaganda za utajiri kwenye umaskini. Mtu kazaliwa hadi anazeeka yupo analishwa na serikali kwa kodi za wananchi anawezaje kujua matatizo ya wananchi? Ndio hawa badala ya kuripoti uhalisia wao wanaripoti uongo na uzandiki walioandika kwenye vitabu vyao.
Labda jamaa anafikri unaenda kuandikwa wakiwa wamejifungia?Ikitokea hamjaitwa kutoa maoni ndiyo mlalamike. Mnataka mshirikishwe kuandaa Mpango wa taifa kwa akili na mentality za kilalamishi? Kwa lishe ipi?
Kikubwa ni kwamba wale wote unaodhani wanastahili watafikiwa na kutoa maoni yao. Wakikataliwa ndipo mje mlalamike.
Mtu kama amejipambania hadi akaishi Masaki au Mbezi au kama amejikuta amezaliwa huko ana kosa gani?
Mbona nyie kwenye Majeshini mnaenda kwa wingi wenyewe hawalalamiki?
Asha Rose Migiro!Weka majina hapa tuwaone hao watu iwapo ni wa Mbezi Beach au Mbezi Kavu ya Kimara Kwa Msuguri
Nchi ipo na viongozi wajinga sana , unaweza jiuliza anafanya hivi kwa faida ya naniMhe. Waziri Kitila Mkumbo ametoa majina ya watu alioteua kutengeneza mpango wa 2050. Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda mbele, ni wake au watoto wa viongozi wa CCM, ni wanazuoni waliofundisha na kusoma naye chuo...........hizi siyo zama za giza ni zama za technology. Hakuna namna hawa wazee wanaweza kuweka projection za nchi kuendana na technology badala yake watakwenda kutuletea nadharia kwenye vitabu
Tulitegemea kuona wafanyabiashara, wataalam wa TEHAMa na watu wenye mafanikio kwenye jamii wakiwa Sehemu ya timu . Academia wangebaki kwenye technical team ya waandishi siyo wachakata hoja.
Tunaanza kufeli kupanga kama Ishara ya kufeli kufanikiwa...........nchi haiwezi ikapangiwa kila kitu na wakaazi wa mbezi beach inahitaji watu wa namtumbo, Kaperamsenga na Kipandaule washiriki pia.
Hawa watu wa masaki na Mbezi Beach wanawekwa kwenye mipango ya nchi ndio wanaotengeneza propaganda za utajiri kwenye umaskini. Mtu kazaliwa hadi anazeeka yupo analishwa na serikali kwa kodi za wananchi anawezaje kujua matatizo ya wananchi? Ndio hawa badala ya kuripoti uhalisia wao wanaripoti uongo na uzandiki walioandika kwenye vitabu vyao.
Hujaelewa hoja ya mtoa mada, ajakataa academicians, hoja wale wangebaki kwenye uchakataji wa mawazo ya wadau muhim na ambao wapo kwenye hualisia1. Mbona hawa wamo au hujamuona Rais wa Tanzania Startup association. Pia yumo Dk Neema Mduma ndio ali design mifumo ya machine learning kubashiri mabinti kuacha shule kisa ujauzito!!. So watu wa technology ni wengi humo. Pia wapo wajasiriamali mfano hapo Mgetta she's an entrepreneur pia board member Tantrade.
2. Why academicians? Dunia nzima kazi za consultancy na strategic plans hakuna watu better kuziandaa kuliko Academicians. Hawa laymen/wafanyabiashara wataitwa tu watoe maoni ila wanaoandaa draft zile have to be academicians maana wamebobea kwenye hizo mambo kwa miaka mingi.
Ambacho labda hakijakaa sawa kama ulivyosema ni balance ya wasomi vs kada zingine. Sema mpango wa taifa ni framework tu mfano watasema Huduma za afya kupitia bima ya wote. Sasa mpango wa miaka mitano mitano ndio utaeleza KIVIPI hiyo vision inatekelezeka.
4. Ila miaka yote tatizo sio uandaaji mpango ila utekelezaji. Mfano mpango wa 2015-2020 ulisema Tanzania nchi ya viwanda alafu wa 2021-25 unasema tumeshavuka kuwa nchi ya viwanda eti sasa tunafanya value addition ili kuuza nje na sio kuuza raw material kama zamani. Ni maneno ya karatasi tu ila hakuna hata kiwanda kimoja cha kueleweka hapa nchini mfano say magari, ndege, kuchenjua dhahabu n.k
Leo kina shivji wanamsifu mwl wanamponda Jakaya, nani muasisi nani muishiNdo serikali ya CCM ilipofikia.
Inafanya mambo kama headless chicken
Maneno mazito kwa watu wenye Akili na wenye kujitambua !!Mhe. Waziri Kitila Mkumbo ametoa majina ya watu alioteua kutengeneza mpango wa 2050. Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda mbele, ni wake au watoto wa viongozi wa CCM, ni wanazuoni waliofundisha na kusoma naye chuo...........hizi siyo zama za giza ni zama za technology. Hakuna namna hawa wazee wanaweza kuweka projection za nchi kuendana na technology badala yake watakwenda kutuletea nadharia kwenye vitabu
Tulitegemea kuona wafanyabiashara, wataalam wa TEHAMa na watu wenye mafanikio kwenye jamii wakiwa Sehemu ya timu . Academia wangebaki kwenye technical team ya waandishi siyo wachakata hoja.
Tunaanza kufeli kupanga kama Ishara ya kufeli kufanikiwa...........nchi haiwezi ikapangiwa kila kitu na wakaazi wa mbezi beach inahitaji watu wa namtumbo, Kaperamsenga na Kipandaule washiriki pia.
Hawa watu wa masaki na Mbezi Beach wanawekwa kwenye mipango ya nchi ndio wanaotengeneza propaganda za utajiri kwenye umaskini. Mtu kazaliwa hadi anazeeka yupo analishwa na serikali kwa kodi za wananchi anawezaje kujua matatizo ya wananchi? Ndio hawa badala ya kuripoti uhalisia wao wanaripoti uongo na uzandiki walioandika kwenye vitabu vyao.
Selfishness ndio tatizo kuu !!Shida yetu wala sio mipango, tuna mipango mingi mizuri sana. Tatizo letu ni utekelezaji wa mipango yetu.
Si ndiyo hapoMtu aache kutengeneza dira ya maendeleo ya familia yake kwa miaka 50 ijayo, aje amtengenezee dira hiyo mtanzania wa kawaida?
Kwa nchi yetu ilo na kale kajamhuri ka wapigaji hiyo ni ndoto.
Nchi hii yahitaji full reset.
Wazushi hawaHapo ni kula hela na maposho tu [emoji23].
Utasikia kuandaa dira imetumika bilioni miamoja na tisini na tisa nukta tisa moja nane tisa saba tano moja tisa moja[emoji23][emoji23]
Ngedere anapochambua mahindi ya kesho.yaani tunataka kutatua matatizo kwa kutumia watu walewale walioleta matatizo.
😂Wazushi hawa
Ova
Nyerere ana kosa ametutendea. Ameulea na kuusimika mfumo kandamizi na chama jambazi kwa Watanzania.Leo kina shivji wanamsifu mwl wanamponda Jakaya, nani muasisi nani muishi
Nchi ya hovyo sana.yaani tunataka kutatua matatizo kwa kutumia watu walewale walioleta matatizo.