Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tunaomba majina hayoHayo majina ya hiyo kamati yako wapi?
Huyo Mduma ana uzoefu gani?Lecture wa chuo kikuu huyo Mduma1. Mbona hawa wamo au hujamuona Rais wa Tanzania Startup association. Pia yumo Dk Neema Mduma ndio ali design mifumo ya machine learning kubashiri mabinti kuacha shule kisa ujauzito!!. So watu wa technology ni wengi humo. Pia wapo wajasiriamali mfano hapo Mgetta she's an entrepreneur pia board member Tantrade.
2. Why academicians? Dunia nzima kazi za consultancy na strategic plans hakuna watu better kuziandaa kuliko Academicians. Hawa laymen/wafanyabiashara wataitwa tu watoe maoni ila wanaoandaa draft zile have to be academicians maana wamebobea kwenye hizo mambo kwa miaka mingi.
Ambacho labda hakijakaa sawa kama ulivyosema ni balance ya wasomi vs kada zingine. Sema mpango wa taifa ni framework tu mfano watasema Huduma za afya kupitia bima ya wote. Sasa mpango wa miaka mitano mitano ndio utaeleza KIVIPI hiyo vision inatekelezeka.
4. Ila miaka yote tatizo sio uandaaji mpango ila utekelezaji. Mfano mpango wa 2015-2020 ulisema Tanzania nchi ya viwanda alafu wa 2021-25 unasema tumeshavuka kuwa nchi ya viwanda eti sasa tunafanya value addition ili kuuza nje na sio kuuza raw material kama zamani. Ni maneno ya karatasi tu ila hakuna hata kiwanda kimoja cha kueleweka hapa nchini mfano say magari, ndege, kuchenjua dhahabu n.k
Nchi hii nafasi ziko kwa connections, huna connection hata uwe na uwezo kiasi gani utapata tabu sana kufikia nafasi za hivyo. Hiyo mipango wanayopanga mingi ni nadharia ndio maana wanachaguana wa huko huko ushefani.Mhe. Waziri Kitila Mkumbo ametoa majina ya watu alioteua kutengeneza mpango wa 2050. Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda mbele, ni wake au watoto wa viongozi wa CCM, ni wanazuoni waliofundisha na kusoma naye chuo...........hizi siyo zama za giza ni zama za technology. Hakuna namna hawa wazee wanaweza kuweka projection za nchi kuendana na technology badala yake watakwenda kutuletea nadharia kwenye vitabu
Tulitegemea kuona wafanyabiashara, wataalam wa TEHAMa na watu wenye mafanikio kwenye jamii wakiwa Sehemu ya timu . Academia wangebaki kwenye technical team ya waandishi siyo wachakata hoja.
Tunaanza kufeli kupanga kama Ishara ya kufeli kufanikiwa...........nchi haiwezi ikapangiwa kila kitu na wakaazi wa mbezi beach inahitaji watu wa namtumbo, Kaperamsenga na Kipandaule washiriki pia.
Hawa watu wa masaki na Mbezi Beach wanawekwa kwenye mipango ya nchi ndio wanaotengeneza propaganda za utajiri kwenye umaskini. Mtu kazaliwa hadi anazeeka yupo analishwa na serikali kwa kodi za wananchi anawezaje kujua matatizo ya wananchi? Ndio hawa badala ya kuripoti uhalisia wao wanaripoti uongo na uzandiki walioandika kwenye vitabu vyao.
Hapo ni kula hela na maposho tu 😂.Hakuna cha mpango wala mipango
Mambo ni bora liende tu
Ova
Mtu aache kutengeneza dira ya maendeleo ya familia yake kwa miaka 50 ijayo, aje amtengenezee dira hiyo mtanzania wa kawaida?Hakuna cha mpango wala mipango
Mambo ni bora liende tu
Ova
Lakini pia maendeleo husababisha kuwanyanyua wale walo nyuma kimaendeleo.Hizo Dira ni za Serikali na CCM Kuombea Mkopo IMF na WB….Maendeleo yataletwa na wewe na familia yako.
Soma vzr wanaopinga wote ndio ambao hawaitambui!Hamuitambui wewe na nani!?
Waziri wa Mipango Kitila Mkumbo hiyo inatosha kukueleza kitakachotokea.Mhe. Waziri Kitila Mkumbo ametoa majina ya watu alioteua kutengeneza mpango wa 2050. Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda mbele, ni wake au watoto wa viongozi wa CCM, ni wanazuoni waliofundisha na kusoma naye chuo...........hizi siyo zama za giza ni zama za technology. Hakuna namna hawa wazee wanaweza kuweka projection za nchi kuendana na technology badala yake watakwenda kutuletea nadharia kwenye vitabu
Tulitegemea kuona wafanyabiashara, wataalam wa TEHAMa na watu wenye mafanikio kwenye jamii wakiwa Sehemu ya timu . Academia wangebaki kwenye technical team ya waandishi siyo wachakata hoja.
Tunaanza kufeli kupanga kama Ishara ya kufeli kufanikiwa...........nchi haiwezi ikapangiwa kila kitu na wakaazi wa mbezi beach inahitaji watu wa namtumbo, Kaperamsenga na Kipandaule washiriki pia.
Hawa watu wa masaki na Mbezi Beach wanawekwa kwenye mipango ya nchi ndio wanaotengeneza propaganda za utajiri kwenye umaskini. Mtu kazaliwa hadi anazeeka yupo analishwa na serikali kwa kodi za wananchi anawezaje kujua matatizo ya wananchi? Ndio hawa badala ya kuripoti uhalisia wao wanaripoti uongo na uzandiki walioandika kwenye vitabu vyao.
Ulitaka wachukuliwe wasio na maendeleo wakatupangie dira ya maendeleo?Mhe. Waziri Kitila Mkumbo ametoa majina ya watu alioteua kutengeneza mpango wa 2050. Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda mbele, ni wake au watoto wa viongozi wa CCM, ni wanazuoni waliofundisha na kusoma naye chuo...........hizi siyo zama za giza ni zama za technology. Hakuna namna hawa wazee wanaweza kuweka projection za nchi kuendana na technology badala yake watakwenda kutuletea nadharia kwenye vitabu
Tulitegemea kuona wafanyabiashara, wataalam wa TEHAMa na watu wenye mafanikio kwenye jamii wakiwa Sehemu ya timu . Academia wangebaki kwenye technical team ya waandishi siyo wachakata hoja.
Tunaanza kufeli kupanga kama Ishara ya kufeli kufanikiwa...........nchi haiwezi ikapangiwa kila kitu na wakaazi wa mbezi beach inahitaji watu wa namtumbo, Kaperamsenga na Kipandaule washiriki pia.
Hawa watu wa masaki na Mbezi Beach wanawekwa kwenye mipango ya nchi ndio wanaotengeneza propaganda za utajiri kwenye umaskini. Mtu kazaliwa hadi anazeeka yupo analishwa na serikali kwa kodi za wananchi anawezaje kujua matatizo ya wananchi? Ndio hawa badala ya kuripoti uhalisia wao wanaripoti uongo na uzandiki walioandika kwenye vitabu vyao.
Sio kila kitu, kasoro wanazilazimisha wao ziwepo. Unakumbuka rasimu ya tume ya Warioba? Watu wote huku mtaani waliiridhia kuanzia kwa Wajumbe jinsi walivyoteuliwa mpaka kwa rasimu yenyewe ilivyochakatwa hadi ikapatikana yakiwa ndiyo maoni halisi ya wananchi. Lakini ona sasa CCM walivyoifanya, wakaanza kuikosoa kwa vifungu hadi kikaja kitu kingine kabisa eti katiba pendekezwa ambayo waliondoa baadhi ya maoni ya wananchi na kuweka ya kwao waliyoona wana maslahi nayo. Kwa staili kama hiyo ya kulazimisha kasoro, kelele zitaacha kuwepo?Upo sahihi Mkuu.
SIJUI NI LINI TUTAKUWA SERIOUS KWENYE MAMBO YA NCHI YETU, YANI KILAKITU TUNACHOFANYA NI LAZIMA KIWE NA KASORO.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue