Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

Status
Not open for further replies.
Jamani mwenye tetesi kuhusu waliochaguliwa kujiunga na ualimu cheti na diploma nijulisheni
 
Na vpi jamani kuhusu mikopo kwa sisi tulioaply diploma uhakika kweli au serikali ni plopaganda?
 

hapo ni vigumu kukuamini.
 
Kama ulifaulu phsc, chem, bios, maths na uliomba dip mkopo lazima upate kwani serikali inawahitaji nyny kama Almasi. Najua tumechoka kitaa ila subira ndio muhimu bado siku chache
 
Mbona web page ua heslb aifunguk, wakat nmesha lipa 30 kwajil ya maombi ya mkopo wa diploma.
Inamana wamenila pexa yng au vp?
 
Subra inahitajika, c mnakumbuka hata post za kuingia f5 mwaka huu zilikuwa kizungumkuti. Tuvute subra
 
Mbona hawa heslb wanazingua,,,mkopo inakuaje ss jaman nsaidieni kupata jibu website yao sku ya 4 hii aipatikani,,,,,nsaidieni
 
Jamani website ya wizara ya elimu hatimae yafunguka lkn hakuna jipya zaidi ya matokeo ya sensa ya watu na makazi
 
Dah!Wangetoa tu hzo post[ualimu na 2nd selectn(v)]Coz madogo wanatia huruama !"sasa hii manaake nn mnafungua website[www.moe.go.tz] pasina posts mnazngua !"
 
Ndugu,zoezi la kuchagua wanaf wenye sifa ni zito maana wizara kwa mwaka 2014/2015 ilinyumbua na kupata categories nyingi tofauti na miaka ya nyuma,huenda hali hii imefanya mchakato kuchelewa.mswahil anasema haraka haraka haina baraka LAKINI ngojangoja yaumiza matumbo,nina imani na serikali sitegemei serikal iniangushe.TUVUMILIE.
 
so what?
 
majina ya monduli tayr mbona wasimalizie na hayo mengne kwan kuna tatizo?
 
Tangu kidato cha nne waingie jukwaani humu kumekuwa na vichekesho vya kila aina.
 
Zoezi la kuwapangia vyuo wanafunz wenye sifa lilimalizika mda mrefu tatizo kuna mambo ya siasa tu ndani yake
 

hakuna cha uzito kazi ya selection ilimalizika tangu july18 kwa yale maombi ambayo deadline ilikuwa may 30 hapa Tz siasa ndio inasumbua kaka
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…