mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
Dar es Salaam.
Serikali imeanza kutoa kadi maalum za kielektroniki zenye vigezo vya kimataifa vya uthibitisho wa kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa Covid 19 zitakazoitwa Vaccine Electronic Certificates.
Shughuli hiyo imeanza leo Alhamisi Agosti 12, 2021 katika ukumbi wa Karimjee ambapo wanahabari, wasanii na watu mbalimbali wamejitokeza kupata chanjo hiyo.
Soma zaidi: Hospitali ya kibinafsi inahusika majibu ya Covid-19 kuchelewa.
Kadi hizo zenye QR Code zina vigezo vya kimataifa zinazohusiana na utambulisho wa siri ambao wanajumuisha taarifa za mpokeaji chanjo, chanjo aliyopata, muda na mahali alipochanjwa.
Source: Mwananchi
___________________________________
Nawaza TU, tunakoelekea hatutakamilisha unabii Kama ilivyoandikwa katika ufunuo wa yohana 13:16-17??
Ufunuo wa Yohana 13:16-17
[16]Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
[17]tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.