#COVID19 Waliochanja COVID-19 kuanza kupewa kadi za kielektroniki

Waii!
Dar es Salaam.

Serikali imeanza kutoa kadi maalum za kielektroniki zenye vigezo vya kimataifa vya uthibitisho wa kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa Covid 19 zitakazoitwa Vaccine Electronic Certificates.

Shughuli hiyo imeanza leo Alhamisi Agosti 12, 2021 katika ukumbi wa Karimjee ambapo wanahabari, wasanii na watu mbalimbali wamejitokeza kupata chanjo hiyo.

Soma zaidi: Hospitali ya kibinafsi inahusika majibu ya Covid-19 kuchelewa

Kadi hizo zenye QR Code zina vigezo vya kimataifa zinazohusiana na utambulisho wa siri ambao wanajumuisha taarifa za mpokeaji chanjo, chanjo aliyopata, muda na mahali alipochanjwa

Source: Mwananchi
___________________________________

Nawaza TU, tunakoelekea hatutakamilisha unabii Kama ilivyoandikwa katika ufunuo wa yohana 13:16-17??

Ufunuo wa Yohana 13:16-17

[16]Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
[17]tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
 
Hii inaitwa bongo, nikitaka kusafiri hakuna mhudumu wa afya wa kituo chochote atakayekataa laki moja(100000), anichome hewa halafu anipe kadi inisaidie. Ila hata uniwekee bunduki kichwani sichanji ng'oo.. Ingawa habari yenyewe haijadhibitishwa.
Unakuwa wamkomoa nani?
 
"Kadi maalum za kielektroniki zenye vigezo vya kimataifa vya uthibitisho wa kuchanjwa chanjo ya UIVIKO 19"

Naona kuna uwezekano mkubwa hivi karibuni kutolewa kwa tamko na UN kupitia ushawishi wa USA kwamba watu wote duniani wachanjwe chanjo ya UVIKO 19 ili dunia izidi kuwa sehemu bora ya kuishi. Ni agenda inayoshika kasi, France imeshatoa tamko kwa wananchi wake.

Yaani kati ya magonjwa yote yaliyopo hivi sasa duniani siyo tena tishio kwa mwanadamu, bali ni huu tu ndiyo maalum na wenye kuhitaji utambulisho wa kipekee duniani kote. Si UKIMWI, ebola, malaria, homa ya ini, homa ya manjano, pepopunda na mengineyo kama hayo.

Je! Kuna agenda gani ya kificho uliyopo nyuma ya chanjo hizi mpaka kufikia kiwango cha kupigiwa "promo" ya nguvu na viongozi maarufu wa kisiasa, matajiri wenye ukwasi mkubwa wa fedha, wafanyabiashara, wasomi na wataalamu wa afya ulimwenguni kote? Je! Mbona wale wote wenye kutokukubaliana nazo wanaanza kuonekana ni watu hatari na waasi?

Inafikirisha sana, mchezo huu hauhitaji haraka. "Beware with the mark of the beast".

Nukuu kutoka katika maandiko matakatifu.

Mathayo 24:32-35

“Kwa mtini jifunzeni mfano huu: Mara tu matawi yake yanapoanza kuwa laini na kuchanua majani, mnajua kwamba wakati wa mavuno umekaribia. Hali kadhalika nanyi mtakapoona mambo haya yote yakitendeka, jueni kwamba yuko karibu sana. Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia. Mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe
 
Dar es Salaam.

Serikali imeanza kutoa kadi maalum za kielektroniki zenye vigezo vya kimataifa vya uthibitisho wa kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa Covid 19 zitakazoitwa Vaccine Electronic Certificates.

Shughuli hiyo imeanza leo Alhamisi Agosti 12, 2021 katika ukumbi wa Karimjee ambapo wanahabari, wasanii na watu mbalimbali wamejitokeza kupata chanjo hiyo.

Soma zaidi: Hospitali ya kibinafsi inahusika majibu ya Covid-19 kuchelewa

Kadi hizo zenye QR Code zina vigezo vya kimataifa zinazohusiana na utambulisho wa siri ambao wanajumuisha taarifa za mpokeaji chanjo, chanjo aliyopata, muda na mahali alipochanjwa

Source: Mwananchi
___________________________________

Nawaza TU, tunakoelekea hatutakamilisha unabii Kama ilivyoandikwa katika ufunuo wa yohana 13:16-17??

Ufunuo wa Yohana 13:16-17

[16]Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
[17]tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
Usichanganye dhana yako isiyokua na uharisia Tena acha kusoma bibilia kishabiki unabii huo mnaopenda kuunukuu ulisha tokea siku nyingi kukalilishwa unabii dhana yakua Bado unabii haujatokea ni dalili za kutosoma vuzuri bibilia kwani sharti la unabii ni kua utokee usipo tokea unabii huo ni wa uongo na nabii huyo alipaswa kuuwawa unabii wa yohana ulushatimia siku nyingi haiwezekani unabii uchukue miaka zaidi ya 2000 haujatokea unachotaka kusema ni kua unabii wa yohana ulisubiri miaka 2020 ndipo utokee ? Nukuu zenu zinataka kusema kua unabii wa yohana Hadi haujatimia hivyo ni unabii wa uongo Kama imepita miaka 2000 bila kutimiia
 
Twende tusome Aya mzima na sio kuchagua mistari...

Ukisoma 11-17, badala ya kukimbilia 16-17, utaona ni Mnyama wa Pili ndie alilazimisha watu wapigwe chapa!! Lakini zimetajwa sifa za huyu Mnyama ambapo...

Anyway, keyword hapo ni miujiza, bila kujali ni miujiza ya aina gani!!!

Je, unaweza kutaja miujiuza ya huyo "mnyama" anayekulazimisha upate chanjo ya corona?!

Na unaweza kumtaja huyo "Mnyama wa Kwanza" anayefanyiwa kazi ya kishetani na huyu "mnyama"anayekulazimisha kukutundika chapa ya corona?!

Kwanini chapa hiyo iwe inayotokana na chanjo ya corona na isiwe chapa ya ndui ambayo tayari wewe na familia yako yote mnayo?!
Chanjo ya ndui haikuwa na sharti la utambulisho wa kimataifa!!
 
Mkuu, mimi sio mbobezi wa Biblia lkn kwa habari ya miujiza na maajabu nikitazama karne ya 20 & 21 yako mengi tu ambayo yamefanyika au yametokea. Mabadiliko ktk teknolojia kwa mfano mawasiliano ya simu anzia za mezani, za mkononi kwa tulipofikia sasa bado bado tu kuanza kutuma mizigo kwa wifi (hapa mtu anaweza kusema haiwezekani, lakini naamini mtu aliyeishi mwaka 1900 kama ungemwambia habari ya simu ya mkononi angesema hilo haliwezekani ila leo ni jambo la kawaida)

Upekee wa chanjo ya corona dhidi ya chanjo nyingine mfano ndui nk. Hizo chanjo nyingine husikii watua wakiambiwa bila kuchanjwa hutaenda sehemu fulani au kupata huduma fulani hata kama ni ndani ya taifa au nchi yako mfano Ufaransa wanaandaa sheria, nilisoma sehemu nadhani New York wanataka kuanzisha Passport maalum kwa waliochanjwa. Vitu kama hivi ndio vinaleta maswali haya yote.

Binafsi nina swali lkn juu ya haya mambo ya chapa nk nk kama yalivyoandikwa ktk Biblia, hasa yataanza baada ya unyakuo au kabla?
 
Hii inaitwa bongo, nikitaka kusafiri hakuna mhudumu wa afya wa kituo chochote atakayekataa laki moja(100000), anichome hewa halafu anipe kadi inisaidie. Ila hata uniwekee bunduki kichwani sichanji ng'oo.. Ingawa habari yenyewe haijadhibitishwa.
mkuu unawaza sambamba na mm ,niko nasubiri wapeane vi vyeti vyao either electronic or hardcopiess. naandaa laki 2 yangu nampa tena cash na chomwa hewa afu napewa cheti changu naendelea na mishw zangu
 
Chukua muda kutafakari kabla ya kuandika mkuu.... kwani nani alijua inabii wa Yohana utatimia baada ya muda Gani kwa wakati ule?
 
Usichanganye dhana yako isiyokua na uharisia Tena acha kusoma bibilia kishabiki unabii huo mnaopenda kuunukuu ulisha tokea siku nyingi kukalilishwa unabii dhana yakua Bado unabii haujatokea ni dalili za kutosoma vuzuri bibilia kwani sharti la unabii ni kua utokee usipo tokea unabii huo ni wa uongo na nabii huyo alipaswa kuuwawa unabii wa yohana ulushatimia siku nyingi haiwezekani unabii uchukue miaka zaidi ya 2000 haujatokea unachotaka kusema ni kua unabii wa yohana ulisubiri miaka 2020 ndipo utokee ? Nukuu zenu zinataka kusema kua unabii wa yohana Hadi haujatimia hivyo ni unabii wa uongo Kama imepita miaka 2000 bila kutimiia
Mkuu! Nimehoji TU, ila sikujua Kama unabii ulishakamilika, naomba TU , kwa faida ya tulio wengi, ututhibitishie unabii huo ulikamilika lini, Ni sehemu TU ya kuelimishana.
 
Chanjo ya ndui haikuwa na sharti la utambulisho wa kimataifa!!
Utambulisho upi unaoita wa kimataifa?!

Ina maana hujui hadi kesho ukitaka kusafiri baadhi ya nchi ni LAZIMA uwe na kadi ya kuonesha umechanja dhidi ya ugonjwa fulani... kwa mfano Yellow Fever?!

Hata hiyo ndui ni kwa sababu tu hivi sasa ugonjwa umekuwa controlled lakini ukisoma historia yake, miaka hiyo kabla ya Tanganyika Ndui ulikuwa ni moja ya magonjwa yaliyokuwa under quarantine requirements.

Kwa maana nyingine, endapo leo kunatokea mlipuko (outbreak) ya ndui kama ilivyo kwa corona, trust me hutaruhusiwa kuingia nchi za watu bila vaccination proof!
 
Mkuu, mimi sio mbobezi wa Biblia lkn kwa habari ya miujiza na maajabu nikitazama karne ya 20 & 21 yako mengi tu ambayo yamefanyika au yametokea. Mabadiliko ktk teknolojia kwa mfano mawasiliano ya simu anzia za mezani, za mkononi kwa tulipofikia sasa bado bado tu kuanza kutuma mizigo kwa wifi (hapa mtu anaweza kusema haiwezekani, lakini naamini mtu aliyeishi mwaka 1900 kama ungemwambia habari ya simu ya mkononi angesema hilo haliwezekani ila leo ni jambo la kawaida)

Upekee wa chanjo ya corona dhidi ya chanjo nyingine mfano ndui nk. Hizo chanjo nyingine husikii watua wakiambiwa bila kuchanjwa hutaenda sehemu fulani au kupata huduma fulani hata kama ni ndani ya taifa au nchi yako mfano Ufaransa wanaandaa sheria, nilisoma sehemu nadhani New York wanataka kuanzisha Passport maalum kwa waliochanjwa. Vitu kama hivi ndio vinaleta maswali haya yote.

Binafsi nina swali lkn juu ya haya mambo ya chapa nk nk kama yalivyoandikwa ktk Biblia, hasa yataanza baada ya unyakuo au kabla?
Kwanza kabisa, mabadiliko ya teknolojia sio muujiza bali SAYANSI, that's it!!!

Kwamba hizo chanjo zingine huambiwi "kama hujachanjwa" ni kwa sababu hivi sasa magonjwa ya chanjo husika yamekuwa controlled, na ndo maana huwezi kusikia nchi au mji fulani kuna mlipuko wa ndui!

Leo hii pakitokea mlipuko wa hayo magonjwa kama ilivyo kwa corona, there's no way unaweza kuingia taifa lingine bila proof ya kuwa vaccinated dhidi ya hayo magonjwa!

Chukulia Yellow Fever kwa mfano, hadi miaka ya hivi karibuni ulikuwa huwezi kuingia baadhi ya nchi bila kuwa na kadi kuonesha umechanja dhidi ya fellow fever!

So, hicho unachodhani ni tofauti ni kwa sababu kwa sasa hakuna mlipuko wa hayo magonjwa!!

Kuhusu uwezekano wa kutokea hayo mambo ya chapa, ishara zinazotajwa kwenye bible zitatokea kabla ya unyakuo; kwa sababu Wanateolijia ya Kikristo wanatuambia Unyakuo ni hali ya kupaa angani kwa wale waliokuwa wameamini (walio hai na wafu waliofufuka)!

Sasa suala la kupaa haliwezi kutokea kabla maandiko hayajatimia!
 
Mkuu tuendelee!

Ni Maandiko yapi yamepaswa kutimia ili suala la unyakuo litokee??
 
mkuu unawaza sambamba na mm ,niko nasubiri wapeane vi vyeti vyao either electronic or hardcopiess. naandaa laki 2 yangu nampa tena cash na chomwa hewa afu napewa cheti changu naendelea na mishw zangu
Zamu hii ndo watawajua wabongo vizuri, nipo nafatilia kwa ukaribu zoezi zima. Nina uhakika kuna manesi watatajirika kupitia hili dili. Wazungu wanajifanyaga wajanja Ila kwa wabongo watafurahi wenyewe. Na ndo tutajua kama wameweka ID CHIP kwenye chanjo ama la, maana wataanza kuwaambia watu una cheti Ila inaonyesha hujachanjwa.. na sisi tutawauliza mmejuaje!?.. na itazua mjadala mkubwa tena. Na hiyo sio TZ tu, nchi nyingi za waafrika watafurahi na roho zao..
 
Dar es Salaam.

Serikali imeanza kutoa kadi maalum za kielektroniki zenye vigezo vya kimataifa vya uthibitisho wa kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa Covid 19 zitakazoitwa Vaccine Electronic Certificates.

Shughuli hiyo imeanza leo Alhamisi Agosti 12, 2021 katika ukumbi wa Karimjee ambapo wanahabari, wasanii na watu mbalimbali wamejitokeza kupata chanjo hiyo.

Soma zaidi: Hospitali ya kibinafsi inahusika majibu ya Covid-19 kuchelewa

Kadi hizo zenye QR Code zina vigezo vya kimataifa zinazohusiana na utambulisho wa siri ambao wanajumuisha taarifa za mpokeaji chanjo, chanjo aliyopata, muda na mahali alipochanjwa

Source: Mwananchi
___________________________________

Nawaza TU, tunakoelekea hatutakamilisha unabii Kama ilivyoandikwa katika ufunuo wa yohana 13:16-17??

Ufunuo wa Yohana 13:16-17

[16]Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
[17]tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
Kweli hii ni biashara ya wazungu
 
Twende tusome Aya mzima na sio kuchagua mistari...

Ukisoma 11-17, badala ya kukimbilia 16-17, utaona ni Mnyama wa Pili ndie alilazimisha watu wapigwe chapa!! Lakini zimetajwa sifa za huyu Mnyama ambapo...

Anyway, keyword hapo ni miujiza, bila kujali ni miujiza ya aina gani!!!

Je, unaweza kutaja miujiuza ya huyo "mnyama" anayekulazimisha upate chanjo ya corona?!

Na unaweza kumtaja huyo "Mnyama wa Kwanza" anayefanyiwa kazi ya kishetani na huyu "mnyama"anayekulazimisha kukutundika chapa ya corona?!

Kwanini chapa hiyo iwe inayotokana na chanjo ya corona na isiwe chapa ya ndui ambayo tayari wewe na familia yako yote mnayo?!
Ni ya corona kwa sababu ndiyo inayokamilisha namba 666. Ya ndui ni ngapi hebu tupe
 
Hii inaitwa bongo, nikitaka kusafiri hakuna mhudumu wa afya wa kituo chochote atakayekataa laki moja(100000), anichome hewa halafu anipe kadi inisaidie. Ila hata uniwekee bunduki kichwani sichanji ng'oo.. Ingawa habari yenyewe haijadhibitishwa.
Akuchome hewa lakini upate namba halisi ya kichupa.
Kwasababu ukitumia namba iliyokwishatolewa utagundulika ikiwa kuna ukaguzi utafanyika.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom