#COVID19 Waliochanja COVID-19 kuanza kupewa kadi za kielektroniki

#COVID19 Waliochanja COVID-19 kuanza kupewa kadi za kielektroniki

Nimeingiza ila hamna kitu, ni wapi wanajaza hizi info nifuatilie, nahitaji hii certificate kwa haraka.
Kuna baadhi walitumiwa kwenye email na unascan QR Code na wengine kupitia hiyo link ukiingiza namba ya ID uliyotumia unapata.Wengi naona walipata chanjo Kairuki Hosp. wana certificate.

Wapigie cm labda.
 
Hiyo itakuwa kwa Tanzania tu ama? Mbona huko ughaibuni hawapewi hizo VEC?
Wapi hawapewi unadhani huko wana akili kama zenu za kushikiwa na Gwajima tena huko wameenda mbali wanataka kutoa kabisa na pasipoti zenye utambulisho wa chanjo.
 
Yeah.. hicho kichupa ndo kina utambulisho. QR code etc. Ukishampa ela yeye atajua cha kufanya na kile kichupa halisi. Ila lazima akiharibu tu ili kisitumike tena.
 
Alama ya mnyama hiyo....hivi haya mabeberu yana ajenda gani nyuma ya nguvu kubwa inayotumika kushawishi chanjo hizi za uviko.....
 
Dar es Salaam.

Serikali imeanza kutoa kadi maalum za kielektroniki zenye vigezo vya kimataifa vya uthibitisho wa kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa Covid 19 zitakazoitwa Vaccine Electronic Certificates.

Shughuli hiyo imeanza leo Alhamisi Agosti 12, 2021 katika ukumbi wa Karimjee ambapo wanahabari, wasanii na watu mbalimbali wamejitokeza kupata chanjo hiyo.

Soma zaidi: Hospitali ya kibinafsi inahusika majibu ya Covid-19 kuchelewa

Kadi hizo zenye QR Code zina vigezo vya kimataifa zinazohusiana na utambulisho wa siri ambao wanajumuisha taarifa za mpokeaji chanjo, chanjo aliyopata, muda na mahali alipochanjwa

Source: Mwananchi
___________________________________

Nawaza TU, tunakoelekea hatutakamilisha unabii Kama ilivyoandikwa katika ufunuo wa yohana 13:16-17??

Ufunuo wa Yohana 13:16-17

[16]Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
[17]tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
Jibidishe ujue tafsiria sahihi ya hilo andiko. Ufikiriacho siyo tafsiri sahihi. Waulize manguli wenye Doctor of theology, watakufundisha.
 
mkuu unawaza sambamba na mm ,niko nasubiri wapeane vi vyeti vyao either electronic or hardcopiess. naandaa laki 2 yangu nampa tena cash na chomwa hewa afu napewa cheti changu naendelea na mishw zangu
Laki 2 nyingi,usawa mgumu,waandalie 30 tu na wataigombania Kama Panya Buku!!
 
Akuchome hewa lakini upate namba halisi ya kichupa.
Kwasababu ukitumia namba iliyokwishatolewa utagundulika ikiwa kuna ukaguzi utafanyika.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hehee hadi no za kichupa zina recordiwa!? Mbona no za Panadol tunakunywa lakini hazija recordiwa!?
 
Wapi hawapewi unadhani huko wana akili kama zenu za kushikiwa na Gwajima tena huko wameenda mbali wanataka kutoa kabisa na pasipoti zenye utambulisho wa chanjo.
Tena kwenye passport waweke picha zetu tukiwa tunapiga Chanjo live!!
 
Hehee hadi no za kichupa zina recordiwa!? Mbona no za Panadol tunakunywa lakini hazija recordiwa!?
Chanjo ni tofauti. Mimi nimeona hasa hizi chanjo ambazo mtu analazimika kuchanja anapoenda nchi fulani kama homa ya manjano ,, hapetitis B, corona, nk.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu! Nimehoji TU, ila sikujua Kama unabii ulishakamilika, naomba TU , kwa faida ya tulio wengi, ututhibitishie unabii huo ulikamilika lini, Ni sehemu TU ya kuelimishana.
Asante kwa hoja yako ya kutaka ufafanuzi rejeaa kumbe;18:20_22 linaeleza unabii ambapo hutoka kwa MUNGU kumbe unabii ni lazima utumie kwa wakati kuepukana na unabii wa uongo usije kutokea watu wakatoa dhana zao kua kisingizio Cha kua ni unabii kumbe ni mawazo yake tu(kujikinai) hivyo Jambo ambalo MUNGU anaonya kua kitatokea(unabii) sharti litokee kwa wakati Sio kichukue muda mrefu ndio maana katika mafungu hayo MUNGU anasema kua atakaye TOA unabii usitimie kwa wakati auwawe Sasa Kama unabii unachukua miaaka 2000 nani atauwawa ?
Kama unabii umetolewa na yohana Karne ya Kwanza leo ni Karne ya 21 yaani miaka zaidi ya 2000 haujatimia mpakaSasa angeuwawa nani
kwani hakuna mtu aliyewahi kuishi hata miaka 1000 haijatokea
Unabii huo ulisha timia nyakati za kaisari Nero wa rumi ambaye aliwaua Petro na Paulo na yohana kunusurika kifo kwa uwezo wa MUNGU na kufungwa katika kusiwa Cha patmo alipoandika ufunuo huo ambao Nero alilazimumisha watu wote wamuabudu Kama MUNGU Paulo Petro na yohana waliyapinga hayo maagizondipo yaliwapata wengine kuchinjwa kuchunwa ngozi Hadi kufa na madhila mbalimbali ndipo yohana akamueleza Nero Kama mnyama mwenye namba 666 huku akitahadhilisha kua namba hiyo kuitambua ni kutumia hekima ya kibinadamu ufu:13:18
Lakini ukiwa hekima yako yakuambia kua chanjo ya korona ndiyo namba 666 inawezekana angalizo chanjo Sio kiumbe ni dawa tu inakosa sifa ya kua mnyama na chanjo zinatengenezwa na mataifa mengi Sio taifa moja karibu nchi nyingi duniani
zinatengenezwa Sasa zitalazimishaje kuabudiwa
Mkuu! Nimehoji TU, ila sikujua Kama unabii ulishakamilika, naomba TU , kwa faida ya tulio wengi, ututhibitishie unabii huo ulikamilika lini, Ni sehemu TU ya kuelimishana.

Mkuu! Nimehoji TU, ila sikujua Kama unabii ulishakamilika, naomba TU , kwa faida ya tulio wengi, ututhibitishie unabii huo ulikamilika lini, Ni sehemu TU ya kuelimishana.
 
Wapi hawapewi unadhani huko wana akili kama zenu za kushikiwa na Gwajima tena huko wameenda mbali wanataka kutoa kabisa na pasipoti zenye utambulisho wa chanjo.
''Hewala si utumwa.''
 
Back
Top Bottom