Kuna baadhi walitumiwa kwenye email na unascan QR Code na wengine kupitia hiyo link ukiingiza namba ya ID uliyotumia unapata.Wengi naona walipata chanjo Kairuki Hosp. wana certificate.Nimeingiza ila hamna kitu, ni wapi wanajaza hizi info nifuatilie, nahitaji hii certificate kwa haraka.
Wapi hawapewi unadhani huko wana akili kama zenu za kushikiwa na Gwajima tena huko wameenda mbali wanataka kutoa kabisa na pasipoti zenye utambulisho wa chanjo.Hiyo itakuwa kwa Tanzania tu ama? Mbona huko ughaibuni hawapewi hizo VEC?
Akuchome hewa lakini upate namba halisi ya kichupa.
Kwasababu ukitumia namba iliyokwishatolewa utagundulika ikiwa kuna ukaguzi utafanyika.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Jibidishe ujue tafsiria sahihi ya hilo andiko. Ufikiriacho siyo tafsiri sahihi. Waulize manguli wenye Doctor of theology, watakufundisha.Dar es Salaam.
Serikali imeanza kutoa kadi maalum za kielektroniki zenye vigezo vya kimataifa vya uthibitisho wa kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa Covid 19 zitakazoitwa Vaccine Electronic Certificates.
Shughuli hiyo imeanza leo Alhamisi Agosti 12, 2021 katika ukumbi wa Karimjee ambapo wanahabari, wasanii na watu mbalimbali wamejitokeza kupata chanjo hiyo.
Soma zaidi: Hospitali ya kibinafsi inahusika majibu ya Covid-19 kuchelewa
Kadi hizo zenye QR Code zina vigezo vya kimataifa zinazohusiana na utambulisho wa siri ambao wanajumuisha taarifa za mpokeaji chanjo, chanjo aliyopata, muda na mahali alipochanjwa
Source: Mwananchi
___________________________________
Nawaza TU, tunakoelekea hatutakamilisha unabii Kama ilivyoandikwa katika ufunuo wa yohana 13:16-17??
Ufunuo wa Yohana 13:16-17
[16]Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
[17]tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.

Wwe shida yako siyo afya! Shida yako ni safari tu au unabisha!?Nimeingiza ila hamna kitu, ni wapi wanajaza hizi info nifuatilie, nahitaji hii certificate kwa haraka.
Tusio chanja tuna comment wapi!?Mimi nilipo ninayo mwezi wa pili huu, na kuna baadhi ya huduma huwa naiscan ili nipate hiyo huduma
Kifo!!Unakuwa wamkomoa nani?
Laki 2 nyingi,usawa mgumu,waandalie 30 tu na wataigombania Kama Panya Buku!!mkuu unawaza sambamba na mm ,niko nasubiri wapeane vi vyeti vyao either electronic or hardcopiess. naandaa laki 2 yangu nampa tena cash na chomwa hewa afu napewa cheti changu naendelea na mishw zangu
rMimi nilipo ninayo mwezi wa pili huu, na kuna baadhi ya huduma huwa naiscan ili nipate hiyo huduma
Hehee hadi no za kichupa zina recordiwa!? Mbona no za Panadol tunakunywa lakini hazija recordiwa!?Akuchome hewa lakini upate namba halisi ya kichupa.
Kwasababu ukitumia namba iliyokwishatolewa utagundulika ikiwa kuna ukaguzi utafanyika.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tena kwenye passport waweke picha zetu tukiwa tunapiga Chanjo live!!Wapi hawapewi unadhani huko wana akili kama zenu za kushikiwa na Gwajima tena huko wameenda mbali wanataka kutoa kabisa na pasipoti zenye utambulisho wa chanjo.
Chanjo ni tofauti. Mimi nimeona hasa hizi chanjo ambazo mtu analazimika kuchanja anapoenda nchi fulani kama homa ya manjano ,, hapetitis B, corona, nk.Hehee hadi no za kichupa zina recordiwa!? Mbona no za Panadol tunakunywa lakini hazija recordiwa!?
Akinunua kichupa ni simple, atapata namba.Kichupa si ndo anauziwa kwa hio hela
Asante kwa hoja yako ya kutaka ufafanuzi rejeaa kumbe;18:20_22 linaeleza unabii ambapo hutoka kwa MUNGU kumbe unabii ni lazima utumie kwa wakati kuepukana na unabii wa uongo usije kutokea watu wakatoa dhana zao kua kisingizio Cha kua ni unabii kumbe ni mawazo yake tu(kujikinai) hivyo Jambo ambalo MUNGU anaonya kua kitatokea(unabii) sharti litokee kwa wakati Sio kichukue muda mrefu ndio maana katika mafungu hayo MUNGU anasema kua atakaye TOA unabii usitimie kwa wakati auwawe Sasa Kama unabii unachukua miaaka 2000 nani atauwawa ?Mkuu! Nimehoji TU, ila sikujua Kama unabii ulishakamilika, naomba TU , kwa faida ya tulio wengi, ututhibitishie unabii huo ulikamilika lini, Ni sehemu TU ya kuelimishana.
Mkuu! Nimehoji TU, ila sikujua Kama unabii ulishakamilika, naomba TU , kwa faida ya tulio wengi, ututhibitishie unabii huo ulikamilika lini, Ni sehemu TU ya kuelimishana.
Mkuu! Nimehoji TU, ila sikujua Kama unabii ulishakamilika, naomba TU , kwa faida ya tulio wengi, ututhibitishie unabii huo ulikamilika lini, Ni sehemu TU ya kuelimishana.
UK hakuna, na serikali imeonywa kuwa na VEC.UFARANSA wanazo, japo wapo wanaopinga
''Hewala si utumwa.''Wapi hawapewi unadhani huko wana akili kama zenu za kushikiwa na Gwajima tena huko wameenda mbali wanataka kutoa kabisa na pasipoti zenye utambulisho wa chanjo.
Sawa, subiri booster number 3 and 4..Mimi nilipo ninayo mwezi wa pili huu, na kuna baadhi ya huduma huwa naiscan ili nipate hiyo huduma