Waliocheka, Walionuna na Waliolia baada superpower kubadili muelekeo.

Hii sahau.
Raisi yeyote wa USA kuna mambo lazima aendeleze apende asipende.
Vikwazo kwa China Russia lazima.
Kama umeusoma mchezo kipindi cha hivi karibuni.....Netanyahu kaweka ukaribu sana na mrusi, na matokeo yalivyotoka tu Netanyahu alikua kati ya watu wa mwanzoni kumpongeza Trump,,,,,,,mrusi anaweza akalegeza mashariki ya kati ili Israel na Marekani walinde maslahi yao,,,huku yeye akiachiwa Ukraine,,,,likitokea hilo haina haja hata ya kufuta vikwazo maana mrusi anakua nae keshatua mzigo wake anakomaa na wenzie wa BRICS.............anaekuja kubalance mambo hapa kati ya Mmarekani na Mrusi atakua ni myahudi
 
Uchaguzi wa Marekani ndio mkubwa zaidi duniani, kila kona ya dunia wanaufuatilia, uwe unaipenda au unaichukia Marekani. Kwa matokeo haya ya Trump kushinda

1.Democrats wamelia kilio cha maombolezo, ushindi uliokuwa ukitegemewa umeyuyuka, wameshindwa kwa kishindo.

2.NATO na Umoja wa Ulaya wamenuna, Trump huwa hataki pesa za US kutoka sana kwenda nje ya US na Trump ni rafiki wa Putin adui yao.

3.Ukraine wamelia kilio cha maombolezo, watalazimishwa kukubaliana na mashariti ya Russia kumaliza vita

3. Putin, Orban, Netanyahu na MBS wamecheka sana, wao na Trump ni washikaji sana. Saudi Arabia itaongeza biashara yake na US, Russia wanaweza kuondolewa vikwazo.

4. Hamas, Iran na Korea Kaskazini watabaki kuwa nyutro, Trump hatakuwa na msaada au afadhali yoyote kwao.

5.China-kawaida tu,
Wachina wao walishajua tangu zamani ku deal na yeyote wa US huku maslahi yao yakizingatiwa zaidi(unavyokuja ndivyo wanavyokupokea), pia wana misuli ya uchumi ya kutiliwa maanani na yeyote.

6. Africa- Sisi tupo tupo tu, Iwe Kamala au Trump hakuna athari zozote kubwa za maana upande huu wa dunia kutoka kwa yeyote.

7.Wanaharakati wa demokrasia duniani kote- nusu wamecheka, nusu wamelia.

8.Wahamiaji na wazamiaji US-Kilio cha maombolezo.
Sisi wa Africa,kwa sisi retail forex traders tumefurahi sana na tulitaka ashinde kwa kuwa atachangamsha soko,kwa tweet yake moja tu pips zinamwagika mpaka basi.
 
Hujawazungumzia watuwala wa kiafrika,hofu hoju matumbo joto,kurudi utumwani.
 
Sisi wa Africa,kwa sisi retail forex traders tumefurahi sana na tulitaka ashinde kwa kuwa atachangamsha soko,kwa tweet yake moja tu pips zinamwagika mpaka basi.
Mkawa matajiri sasa mkuu?
 
Uchaguzi wa Marekani ndio mkubwa zaidi duniani, kila kona ya dunia wanaufuatilia, uwe unaipenda au unaichukia Marekani. Kwa matokeo haya ya Trump kushinda

1.Democrats wamelia kilio cha maombolezo, ushindi uliokuwa ukitegemewa umeyuyuka, wameshindwa kwa kishindo.

2.NATO na Umoja wa Ulaya wamenuna, Trump huwa hataki pesa za US kutoka sana kwenda nje ya US na Trump ni rafiki wa Putin adui yao.

3.Ukraine wamelia kilio cha maombolezo, watalazimishwa kukubaliana na mashariti ya Russia kumaliza vita

3. Putin, Orban, Netanyahu na MBS wamecheka sana, wao na Trump ni washikaji sana. Saudi Arabia itaongeza biashara yake na US, Russia wanaweza kuondolewa vikwazo.

4. Hamas, Iran na Korea Kaskazini watabaki kuwa nyutro, Trump hatakuwa na msaada au afadhali yoyote kwao.

5.China-kawaida tu,
Wachina wao walishajua tangu zamani ku deal na yeyote wa US huku maslahi yao yakizingatiwa zaidi(unavyokuja ndivyo wanavyokupokea), pia wana misuli ya uchumi ya kutiliwa maanani na yeyote.

6. Africa- Sisi tupo tupo tu, Iwe Kamala au Trump hakuna athari zozote kubwa za maana upande huu wa dunia kutoka kwa yeyote.

7.Wanaharakati wa demokrasia duniani kote- nusu wamecheka, nusu wamelia.

8.Wahamiaji na wazamiaji US-Kilio cha maombolezo.
Kuna thread uliweka nadhani ilikua januari mwaka huu ulikua unazungumzia uchaguzi wa marekani wa 2020.

Nilisema binafsi naona kuna uwezekano mkubwa Trump aliibiwa kura 2020 kupitia utaratibu wa zile mail-in ballots.

Ulisema Trump alishindwa fairly ila nataka tufuatilie mpaka kura zote zikisha hesabiwa tukajua jumla ya waliopiga kura ni wangapi, Harris amepata ngapi na Trump amepata ngapi kisha tulinganishe tena na 2020 na 2016, bado naamini kuna kitu tutajifunza.

Bado naamini kuna marehemu walimpigia kura biden 2020!
 
2020 Trump alishindwa fairly na uchaguzi huu wa hapa ameshinda fairly. Kamala Harris sio Biden na Biden wa 2020 sio sawa na Biden wa 2024. Pia hali ya 2020 siwa sawa na hali ya 2024
 
Mkawa matajiri sasa mkuu?
Sio kuwa matajiri kuwa tajiri sio issue kubwa kwa sisi traders but at least to be successful in life,ukizingatia nchi zetu Dunia ya tatu hizi ajira hakuna na biashara za brick and motor ni ngumu na umangimeza,umwinyi mwingi,Kodi lukuki sio poa.Mimi kama trader nafunga hesabu ya l$20k per month,at least I am successful and it makes sense.
 
Kamala atoe mkono wa pongezi kwa mshindi wa kiti cha Uraisi aonyeshe political maturity.

Asiwe kama huyo Trump ambaye hakubaligi kushindwa na tabia zake za Kitoto.
Na asipofanya Hivyo atakuwa hajayatimiza maneno yake aliyokuwa anahubiri kwenye kampeni
 
Trump hana habari sana na Africa, Marais waliokuwa wamejiweka karibu zaidi na Africa ni Bush na Obama, Biden kiasi.
Yeye anachoamini ili afrika ielewe sharti irudishwe utumwani basi.
 
Mtihani kwake ataweza kubadili sera za mambo ya nje kisha akabakia salama au watamdhuru kama J.F. Kennedy?
Hizo za Kennedy kuuwawa na watu wake ni conspiracies tu.
 
China kichwa kinamuwaka, anakutana na yule wa weka ugoko nipige na nondo au jiwe. China alizoea kwa miaka mingi kudhibiti US products, like google, youtube n.k, for once akakutana na mtu aliyeamua kwenda naye jino kwa jino
China hata haipendelei hizo siasa za kuvimbiana sana katika bishara na wateja wake, ni mambo inayojitahidi kuyaepuka sana. Pia China haijafungia Google, YouTube, WhatsApp, Twitter na Instagram kwa sababu za kibiashara, ni siasa za udikteta tu za ku control na kuminya mawasiliano kati ya raia ndani na nje ya China, sioni namna yoyote Trump anaweza kufanya kubadilisha hilo.
 
Back
Top Bottom