Waliocheka, Walionuna na Waliolia baada superpower kubadili muelekeo.

Waliocheka, Walionuna na Waliolia baada superpower kubadili muelekeo.

Na wanslia sana, sisi kazi yetu ni kuwapatia lesso na tissue kwa ajili ya kufutia makamasi

Hakatai hela ya US kutoka, ila anachohitaji ni uwiana sawa kwa mujibu wa makubaliano sababu wengine hawa play parts zao

Trump hawezi kuwaacha Ukraine kama wengi wanavyofikiri, kufanya vitu bila kuzingatia msimamo, hadhi na maslahi ya nchi ni kati ya vitu Trump anavipinga. Pia ameona madhara yake kule Afghanistan, aliweka utaratibu mzuri wa kuondoa majeshi ya US, lakini Demons wakayaondoa kwa kukurupuka

Putin hana cha kufurahia, unadhani itakuwa rahisi kuambiwa ayaachie na aondoke maeneo yote ambayo hakuwe kabla ya uvamizi?

Hamas na Iran ni kilio, Korea ataachwa kama alivyo

China kichwa kinamuwaka, anakutana na yule wa weka ugoko nipige na nondo au jiwe. China alizoea kwa miaka mingi kudhibiti US products, like google, youtube n.k, for once akakutana na mtu aliyeamua kwenda naye jino kwa jino

Afrika wana hata hiyo habari basi!? Ndiyo kwanza wana CCM wengi walimuunga mkono Kamala wakiona kumuunga mkono Mwanamke ni kumuunga Mkono Damia

democrasia ni mtambuka

Hajawahi kuwa na shida na wahamiaji halali
Umeeleweka bara baraa
 
Wale wa green card lottery wajiandae, huwa yuko against na uhamiaji kupitia njia hiyo pia, hivyo huwa anaweka ngumu kuingia us⁶
Ile ipo kisheria na ina kanuni zake, walioingia kwa njia ile wameingia kisheria, labda aipige marufuku sasa kwamba isiwepo na hata akiipiga marufuku sasa, sheria haifanyi kazi backward, bali itanzia ilipopigwa marufuku (kama ip kwa utashi wa ofisi ya rais), So hao wapo salama kabisa
 
Vitaondolewa tu kabla Trump hajaondoka madarakani, Trump na Putin ni marafiki, bunge la Marekani wameingia Pro-Russia wengi zaidi pia.
Trump mwaka 2016 aliingia madarakani akakuta Urusi imewekewa vikwazo na Marekani kwa sababu ya Urusi kuteka Cremea lakini mpaka ana ondoka hakuna hata kikwazo kimoja kilicho ondolewa badala yake viliongezwa vingine.
 
Ile ipo kisheria na ina kanuni zake, walioingia kwa njia ile wameingia kisheria, labda aipige marufuku sasa kwamba isiwepo na hata akiipiga marufuku sasa, sheria haifanyi kazi backward, bali itanzia ilipopigwa marufuku (kama ip kwa utashi wa ofisi ya rais), So hao wapo salama kabisa
🇺🇸 haiendeshwi kama Tanzania na nchi nyingi za kiafrika, just coz DT kaingia madarakani haimaanishi kuwa kila kitu kitabadilika. Mengi yaliyokuwepo yataendelea kuwepo as foreign policies za US ndio factor kubwa sana ya kumuweka madarakani raisi. GC lottery imekuwepo miaka mingi toka 90s nadhani, haiondoki leo wala kesho.
 
Watu wapo misinformed na ndiyo sababu ya wao kutompenda Trmp
 
Back
Top Bottom