Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna hata kimoja kati ya vyote sijawahi zihusudu siasa za marekaniWewe umecheka, umenuna au umelia??
Halipo hata moja kati ya hayo uliyoniuliza.Wewe umecheka, umenuna au umelia??
Umeeleweka bara baraaNa wanslia sana, sisi kazi yetu ni kuwapatia lesso na tissue kwa ajili ya kufutia makamasi
Hakatai hela ya US kutoka, ila anachohitaji ni uwiana sawa kwa mujibu wa makubaliano sababu wengine hawa play parts zao
Trump hawezi kuwaacha Ukraine kama wengi wanavyofikiri, kufanya vitu bila kuzingatia msimamo, hadhi na maslahi ya nchi ni kati ya vitu Trump anavipinga. Pia ameona madhara yake kule Afghanistan, aliweka utaratibu mzuri wa kuondoa majeshi ya US, lakini Demons wakayaondoa kwa kukurupuka
Putin hana cha kufurahia, unadhani itakuwa rahisi kuambiwa ayaachie na aondoke maeneo yote ambayo hakuwe kabla ya uvamizi?
Hamas na Iran ni kilio, Korea ataachwa kama alivyo
China kichwa kinamuwaka, anakutana na yule wa weka ugoko nipige na nondo au jiwe. China alizoea kwa miaka mingi kudhibiti US products, like google, youtube n.k, for once akakutana na mtu aliyeamua kwenda naye jino kwa jino
Afrika wana hata hiyo habari basi!? Ndiyo kwanza wana CCM wengi walimuunga mkono Kamala wakiona kumuunga mkono Mwanamke ni kumuunga Mkono Damia
democrasia ni mtambuka
Hajawahi kuwa na shida na wahamiaji halali
JAU kama kule kula Kwa kambaRais mwanamke kiukweli ni ....
8.Wahamiaji na wazamiaji US-Kilio cha maombolezo.
Hivi mange ni muhamiaji haramu?Vilio ni kwa wahamiaji haramu na sio wahamiaji halali.
Siwezi kujua mkuu.Hivi mange ni muhamiaji haramu?
Wale wa green card lottery wajiandae, huwa yuko against na uhamiaji kupitia njia hiyo pia, hivyo huwa anaweka ngumu kuingia usHajawahi kuwa na shida na wahamiaji halali
Arudishwe turarue pa kujambiaSiwezi kujua mkuu.
😊Arudishwe turarue pa kujambia
Hasa kwa washindi wa nchi zenye uislamu mwingi ,japo haiwezi kuathiri moja kwa moja.Wale wa green card lottery wajiandae, huwa yuko against na uhamiaji kupitia njia hiyo pia, hivyo huwa anaweka ngumu kuingia us
Bila shaka utakuwa gaidi wewe.Hakuna hata kimoja kati ya vyote sijawahi zihusudu siasa za marekani
Ile ipo kisheria na ina kanuni zake, walioingia kwa njia ile wameingia kisheria, labda aipige marufuku sasa kwamba isiwepo na hata akiipiga marufuku sasa, sheria haifanyi kazi backward, bali itanzia ilipopigwa marufuku (kama ip kwa utashi wa ofisi ya rais), So hao wapo salama kabisaWale wa green card lottery wajiandae, huwa yuko against na uhamiaji kupitia njia hiyo pia, hivyo huwa anaweka ngumu kuingia us⁶
Trump mwaka 2016 aliingia madarakani akakuta Urusi imewekewa vikwazo na Marekani kwa sababu ya Urusi kuteka Cremea lakini mpaka ana ondoka hakuna hata kikwazo kimoja kilicho ondolewa badala yake viliongezwa vingine.Vitaondolewa tu kabla Trump hajaondoka madarakani, Trump na Putin ni marafiki, bunge la Marekani wameingia Pro-Russia wengi zaidi pia.
🇺🇸 haiendeshwi kama Tanzania na nchi nyingi za kiafrika, just coz DT kaingia madarakani haimaanishi kuwa kila kitu kitabadilika. Mengi yaliyokuwepo yataendelea kuwepo as foreign policies za US ndio factor kubwa sana ya kumuweka madarakani raisi. GC lottery imekuwepo miaka mingi toka 90s nadhani, haiondoki leo wala kesho.Ile ipo kisheria na ina kanuni zake, walioingia kwa njia ile wameingia kisheria, labda aipige marufuku sasa kwamba isiwepo na hata akiipiga marufuku sasa, sheria haifanyi kazi backward, bali itanzia ilipopigwa marufuku (kama ip kwa utashi wa ofisi ya rais), So hao wapo salama kabisa
Watu wapo misinformed na ndiyo sababu ya wao kutompenda Trmp🇺🇸 haiendeshwi kama Tanzania na nchi nyingi za kiafrika, just coz DT kaingia madarakani haimaanishi kuwa kila kitu kitabadilika. Mengi yaliyokuwepo yataendelea kuwepo as foreign policies za US ndio factor kubwa sana ya kumuweka madarakani raisi. GC lottery imekuwepo miaka mingi toka 90s nadhani, haiondoki leo wala kesho.