Walioenda interview ya TRA UDSM mliingia na kutoka saa ngapi? Kuna mchezo nataka kuchezewa hapa

Walioenda interview ya TRA UDSM mliingia na kutoka saa ngapi? Kuna mchezo nataka kuchezewa hapa

Interview za bongo hao wasaili ndio wanazingua hawa wasailiwa mara nyingi wanawahi mapema maana wana shida ya kazi.

Kuna dogo alienda mwaka huu mwanzoni palikuwa na interview pale udsm tena paper ,waliambiwa saa 7-8 mchana ila walikuja kufanya paper saa kumi mbili jioni🥹🥹....Kwa vile alifikia kwangu nilimtafuta karudi saa tatu inaenda saa nne .

Nakamchek mwana mwingine nae akasema wamezingulia na wengine hawakufanya baada ya kucheleweshwa walisepa.
 
Back
Top Bottom