Walioenda interview ya TRA UDSM mliingia na kutoka saa ngapi? Kuna mchezo nataka kuchezewa hapa

Walioenda interview ya TRA UDSM mliingia na kutoka saa ngapi? Kuna mchezo nataka kuchezewa hapa

Na wa saa nane wakafanya saa ngapi
Ndo hapo sasa,tulikua tunaongea wenyewe hao inawezekana wakafika hadi usiku,japo sijafuatilia ilivokua maana sina mtu namjua wa ratiba ya mchana..
 
Paper ilikuaje?
Gumu kwa miye nlomalza shule mda kidogo.
Ila kwa mtu Ambae shule ipo bado fresh kichwani(recent graduate) bas kwake sio gumu kabisa.
It needs you to read notes to pass that exam.
Otherwise manyoya.
Kuna maswali kadhaa unaeza tumia akili hata kama hujasoma ukajibu vitu kihalisia na vipo ila ukicheki point za madesa zimekaa flani ki-techical. So ni hvyo mkuu.
 
Back
Top Bottom