Walioenda interview ya TRA UDSM mliingia na kutoka saa ngapi? Kuna mchezo nataka kuchezewa hapa

Interview za bongo hao wasaili ndio wanazingua hawa wasailiwa mara nyingi wanawahi mapema maana wana shida ya kazi.

Kuna dogo alienda mwaka huu mwanzoni palikuwa na interview pale udsm tena paper ,waliambiwa saa 7-8 mchana ila walikuja kufanya paper saa kumi mbili jioniπŸ₯ΉπŸ₯Ή....Kwa vile alifikia kwangu nilimtafuta karudi saa tatu inaenda saa nne .

Nakamchek mwana mwingine nae akasema wamezingulia na wengine hawakufanya baada ya kucheleweshwa walisepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…