Gumu kwa miye nlomalza shule mda kidogo.
Ila kwa mtu Ambae shule ipo bado fresh kichwani(recent graduate) bas kwake sio gumu kabisa.
It needs you to read notes to pass that exam.
Otherwise manyoya.
Kuna maswali kadhaa unaeza tumia akili hata kama hujasoma ukajibu vitu kihalisia na vipo ila ukicheki point za madesa zimekaa flani ki-techical. So ni hvyo mkuu.