Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

Kwa navoijua nchi hii ya CCM nothing can happen mzee
 
Kwanza nikukatalie kwamba CHADEMA haikupeleka majina tume, Utaratibu wa miaka yote majina hayo lazima yateuliwe na KK ambayo haikupitisha majina then ndio yaende tume.

Hivyo maelezo yako yote yanakosa mashiko
 
Source, futa uzi wakichonganishi
 
Huyu dada nilikuwa namkubali sana aisee... Lakini kaniangusha sana leo Halima wakuiogopa chadema kwamba katishwa hawezi kuhudhuria muito alioitwa na wenzake?? Yani kwamba chadema wanaweza kumdhuru Halima na wenzio?
 
Suala la Muhimu ni wao kuendelea Kuwa Wabunge bila kujali WAMEOMBA msamaha au wamekosana au wamepishana KAULI au wameungana au wameigeuka CCM!

Cha msingi ni wao kuendelea Kuwa Wabunge
 
Ndiyo, wakaingia hadi mageleza wakamchomoa kamanda binti, wakamwapisha kisha wakamtimuwa!!!...wabaya sana yahani. Wakamshinikiza na DPP atangaze kuwa hana nia ya kuendelea na kesi ya......
 
Kwanza nikukatalie kwamba CHADEMA haikupeleka majina tume, Utaratibu wa miaka yote majina hayo lazima yateuliwe na KK ambayo haikupitisha majina then ndio yaende tume.

Hivyo maelezo yako yote yanakosa mashiko
Mbowe mwenyewe amekiri kuna viongozi wamefoji na kupeleka majina. Taarifa ya tume imesema Katibu mkuu msaidizi ndiye alipeleka nyaraka zikiwa na saini ya Katibu Mkuu. Cha ajabu kikao cha juzi hakijasema lolote kwa waliofanya "uhuni" huu. Unadhani ni kwa nini.
 
kila chama kina katiba yake, Membe alivyofutiwa uanachama ccm ilikuwa ni kulingana na katiba ya ccm.

kwanini rais awape kazi kwa sababu ni wanawake?
ufanisi wa mtu auangalii jinsia yake
 
Suala la Muhimu ni wao kuendelea Kuwa Wabunge bila kujali WAMEOMBA msamaha au wamekosana au wamepishana KAULI au wameungana au wameigeuka CCM!

Cha msingi ni wao kuendelea Kuwa Wabunge
Suala muhimu ni kuombea hizo trillions kadhaa za mabeberu sisifike mikononi mwa manyang'au na wasaliti.
 
Upinzani ungekuwa haujakomaa Magufuli asingefanya uhuni alioufanya kwenye huo wanaoita uchaguzi.

Haiingii akilini Magufuli anavyowaogopa wapinzani, yeye kila siku ni kupambana na wapinzani tu hadi miaka mitano imepita hakuna chochote cha maana alichokifanya. Bure kabisa.
 
Miaka 15 ya jasho na damu ..saa nyingine Lupango..mahakamani...nyie mmetulia tulii majumbani kwenu.. tokeni kwenye comfort zone mvae viatu vyake hata mara moja mtaona alivyo jasiri
Mapambano ni hiari, na mtu unafanya kwa utashi. Ndio maana hujaona raia wanafatwa majumban kwa nguvu ili wakaandamane.

Kama umeamua kuwa sehem ya mapambano, basi simamia mnachokipigania. Ila unavyoamua kuwarudisha watu nyuma eti kisa mapambano magumu, hapo siungi mkono.

Mdee kama aliamua kuachana na mapambano, angeachana nayo kwa njia tofauti na aliyotumia, maana ameonekana kama msaliti.

Kwann aseme kila kitu kimeenda kwa baraka za uongozi wa juu wa chama, tena akaenda mbali na kumshukuru Mwenyekiti.

All in all, Mdee amezingua sana katika ili,maana naamini yeye ndio ametumika sana kushawishi wengine

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…