gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Kamanda jasiri aliyepigana vita kwa jasho na damu ni pamoja nakumaliza vita hivyo sio kuvikimbia njiani kabla vita havijaisha.tena anakimbilia upande wa adui.vinginevyo tujue alikua anapigania vita tumbo lake ila sio vita kwa maana ya vita aliyopaswa kuipigana.Sidhani kama kuna mtu alimfwata akamwambia tunataka ukawe kiongozi wetu kwenye hii vita bali alisikumwa kwa utashi wake baada yakuona kuna wajibu wakufanya kwa nchi yake.Kwahiyo kama hakukamilisha huo wajibu au aliteseka hakuna sababu yayeye kuonekana aliteseka binafsi.bado wangeweza kushirikiana kama chama wakaja na majibu sahihi ya nini kifanyike ila sio papara na hatua walizochukua.Kukosea kupo ila ukikosea kwa makusudi ni ujinga.Miaka 15 ya jasho na damu ..saa nyingine Lupango..mahakamani...nyie mmetulia tulii majumbani kwenu.. tokeni kwenye comfort zone mvae viatu vyake hata mara moja mtaona alivyo jasiri