Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

Utahangaika sana boss! Tatizo ni kutokubali kwamba CHADEMA ni mkusanyiko wa wahuni. Walioko top ni:
former DJ,
mwimbaji wa R&B,
mwizi wa magari,
mchungaji feki
mabingwa wa msuba

Niambie nani asimamie chama zaidi ya kutishana. Nyamazeni wenzenu wako Bungeni na wameshajaza fomu za mikopo kama wengine.
 
Kosa lako ni kuamini kwamba siasa ni kazi yako na yeye. Nani aliwaajili? Usitake tuone kwamba siasa ni ajira ya watu fulani na kwamba wanateseka saana, kutusaidia! Walijipeleka wenyewe kwa mapenzi yao na yanayowapata ni kwa uamuzi wao. Why not quit? Au hana pa kwenda nje ya siasa?

Nchi hii kuna tulioanzia kilimo, tukaenda ufugaji, tukatengeza gongo, tukawa machinga na sasa tunamiliki daladala. Ukiona hii hailipi, achana nayo badala ya kujisifia eti amepitia hili na lile ni mpiganaji. Mpigananji wa nani?
 
Km amefanya kwann wasimamizi wa uchaguzi walipewa maelekezo ya kuhujumu uchaguzi? Ni kwann mawakala wa cuf, nccr walilipwa na ccm? Kwannn kwenye vituo ambavyo vilikua na mawakala wa cuf hakukua na kura hata moja ya cuf? Km wasimamizi wa vituo walipewa maelekezo ya kuwahujumu wapinzani itakuaje kwa wasimamizi wa majimbo na tume? Ambae hakuona kasoro za uchaguzi huu atakua hana utimamu wa akili!
 
Halima Mdee anasema na nishukuru mwenyekiti wangu wa chama kwa kuturuhusu,... Aisee..!
Wakati anaruhusiwa kwa nini hakuangalia kama sheria na kanuni zimefuatwa wakati ni mwanasheria msomi, ingawaje nilikuwa namuona kila mwaka anakunywa supu pale mlimani.
 

Conclusion na supporting arguments hazina uhusiano wowote. Ni logical fallacy!
 
Mungu akusamehe. Kuna mataifa viongozi wao walianzia mbali mpaka kufikia kuongoza nchi. eg Ronald Reagan alinzia u cowboy, Andrei Rajiolina alianzia u DJ , Rais wa Malawi wa sasa ameanzia huo unaouita uchungaji fake nk . Sasa viongozi wa Cdm kuanzia maisha chini si kigezo cha kukosa hekima ya uongozi.
Mzee Mwinyi alikuwa na diploma tu ya ualimu lakini aliongoza kwa ufanisi.
 
Pesa vs Chama.. Kutamu hapo, mm nafuata pesa, chama tupa kuleee, hawa ni wabunge tayari, wachane na mengine
 
And that is your problem. You want him to talk down to his audience? Lissu is the only one who treats his audience with respect. He doesn't take them for granted even though he is more educated than most of them. He touches a chord with them because he tells them what he sees as the truth. He doesn't try to buy them off nor give them easy answers to difficult questions. I think that you are barking up the wrong tree. He totally has nothing in common with the Trump.

Amandla...
 
Wamekuwa kama kuku yatima
 
Jizungumzie ww binafsi.wengine humu unaowaona wana mind ndio hao hao makamanda waliopo field daily.Wewe kama ni keyboard worror usidhan wote ni kama ww.
 
Ipo wazi kuwa uongozi wa chadema usingekubali
Yeye alikuwa sehemu ya uongozi alipaswa aingie kwenye hivyo vikao awashawishi viongozi wenzake kwa hoja.
Kwenda kulalamika nje ya vikao, tena mbele ya maadui wa chama chake ni unafiki na usaliti.
 
Jizungumzie ww binafsi.wengine humu unaowaona wana mind ndio hao hao makamanda waliopo field daily.Wewe kama ni keyboard worror usidhan wote ni kama ww.

Na wewe uko kwenye field pia au unaongea tu?
 
Hivi kwani wamepiga sh ngapi wote kwa ujumla wao hasa wale wawili wanaofuatana mpaka chooni
 
Dadi figa cd4 zimepanda ghafla kwa tamko la cdm
 
.
Njaa mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…