Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Akishaomba msamaha akale wapi? Mnajua kweli mnachokiongea? Mtu ka-invest miaka 15 kwenye siasa, maisha yake ni siasa.. Leo chama chake kimekufa unataka aendelee kufight na kitu kisicho na maslahi?Dada Rebeca, kubali kuwa Halima kaharibu mno. Nadhani hata yeye haamini upepo ulivyogeuka. Aombe msamaha atasamehewa ila kamwe heshima yake haiwezi kurudi.
Siasa ndio maisha yake, Kama kweli mnasimamia demokrasia mwacheni afanye maamuzi binafsi .
*Usinitukane.