Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

Jizungumzie ww binafsi.wengine humu unaowaona wana mind ndio hao hao makamanda waliopo field daily.Wewe kama ni keyboard worror usidhan wote ni kama ww.

Niko huru kuandika ninachojiskia kama nakuboa na michango yangu tapika tuu, i dont give a damn what you think of me,keyboard warrior or not...simply msiniwekee usiku
 
Kweli kabisa mkuu, watu walimpigania kwenye chaguzi tatu tofauti jimboni Kawe buree, kwa mapenzi yao tu.
Sijajua ni tamaa ya aina gani aliyonayo kiasi cha kuusaliti uma!!?
Njaa; Halima ana tamaa ya fedha, baada ya kukosa ubunge alikuwa hana pa kushikia!! Fursa ya viti maalum ilipojitokeza akatumbukia moja kwa moja!
 
Kwa uweewa wake Mdee ameshidwa kuewa kuwa vita CCM ya kupiga kura wameshinda na vita ya piii ni namna ya kuwaridhisha mabeberu watoe fedha zitakazosaidia CCM kuiwezesha kukamiisha mipango yao, ktk vita hii CDM ndiyo imeshika mpini wanataka masharti yao yatimizwe kwa kukaa meza moja, CCM wanatumia nguvu na mipango ovu rejea Tundu amesema wakae meza moja ya maridhiano yaishe. CDM inajua hapo ndiyo pa kushindia vita hii ya piii ambayo magufuii anaita ya kiuchumi. Kamati tatu za Bunge zinapaswa kutoka CDM kuwezesha nchi wahisani kutoa mikopo na misaada kwa serikaii. Uhuni aiiofanya Mdee anaeewa hii ndiyo kete iiyobaki kwa Chadema, akaamua kuasi na kujiunga na CCM huko ni kuasi kwa kiwango cha juu sana. Vita hii ccm wakae na CDM kama Kikwete aivyofanya mambo yaishe.

Kumwacha Aida Kenan huu pia ni mpango hata madiwani wanaoapishwa pia.
 
Kwa Bulaya kurudi nyumbani kwao naona si tatizo sana, maana akifika pale ni kuomba msamaha na kawaida ya mtoto akikosea mzazi huwa hawana option nyingine zaidi ya kukusamehe kukukokea kukuvisha taji shingoni na sherehe kubwa na maisha yanaendela- refer yue mwana mpotevu aliporudi kwa babake.. Luka 15:11-32

Kwa Halima ni tofauti, Halima CCM siyo kwao, atafika mgeni 100%, hatakuwa na furaha kama Bulaya, itabidi kila muda awe na Bulaya kumwonyesha kona na kumpa uchangamfu - ni kazi kubwa mno kuishi sehemu si kwenu afu ukawa free hapana... hata chakula kikiwa mezani huwezi kwenda kupakua hadi wenyeji watangulie kwanza... utaona baridi.

So option bora kwa hii COVID-19 Group ni kuachana na Bulaya arudi kwao - wanaobakia sasa wana option 2 tu.
1. Kuanzisha chama chao kimya cha siasa kitakachojikita kutetea haki za wanawake - yaani turufu yao watakayotumia ni kuwaamimisha watanzania kwamba hicho chama chao ndicho pekee kitakachotetea HAKI ZA WANAWAKE Tanzania..

OR

2. Na wao kurudi nyumbani, waombe msahama kwa KAMATI Kuu maisha yaendeleee maana CDM ni nyumbani kwao. Ulipokulia ndipo utakapozikwa - sasa huwezi kukulia Tandare ukataka kuzikiwa Masaki hapana!!
 
Although the first one is true for most politicians, Lissu has never claimed that he is intellectually superior to most of us mere mortals. On the other hand.....
And the second one is moot because Chadema and Lissu have never won a presidential election.

Amandla...
Ng'awethu
 
Habari wadau. Yajayo yanafurahisha.

Waliokuwa Wabunge wa Viti Maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee wameanza kutofautiana hasa baada ya kufutwa Uanachama, na mapokeo ya maamuzi hayo kwa BAWACHA wenzao na Wanachama kwa ujumla.

Kwa taarifa zilizopo ni kwamba Dada mmoja kutoka Mbeya ameungana na wenzake na wameanza kushinikiza ili waende kuonana na mwenyekiti ili kuomba msamaha.

Jambo hili limeathiri mpango wa pamoja wa kutoa tamko kulaani kuvuliwa uanachama, kutokana na baadhi kutokubaliana na matamshi yanayokinzana na misimamo yao.

Muda unakwenda kasi, muda si mrefu tutasikia mapya juu ya mchongo mzima wa jinsi suala hili lilivyokuwa, watasema wenyewe na tutaelewa vizuri.
Umeshasema ni tetesi tu hazina ukweli wowote. Subirini Ndugai awatoe knock out muda si mrefu
 
Kazi ya hivi vyombo ni kusimamia sheria. Kama hutaki kuingia matatani, just play by the rule.

Tupo wengi ambao hatuna hata chama, lakini hatujawahi kupendelewa au kukandamizwa na hivi vyombo!
Aliyeikamatwa na begi la kura kwenye kituo cha kupigia kura kesi yake imefikia wapi pale mahakama ya kinondoni?
 
Try to be very understanding and mature-kwenye hili tumia busara na hekima kuliko mihemuko,Je,unaelewa machungu wanayopitia baadhi ya wafuasi wa vyama vya upinzani kwa kupoteza ndugu,jamaa,na marafiki kwa vifo? Je,Unaona ni jambo dogo wafuasi wa vyama vya upinzani kuozea kwenye jela pasina haki angali COVID 19 walikuwa viongozi wao? Je,Unadhani ni sahihi COVID 19 kushiriki tafrija kwa namna ya dhuluma wakati hata wafiwa hawajamaliza arobaini ya misiba? sometimes we need to be human....Kiongozi bora lazima ajua machungu na maumivu ya anaowaongoza na sio tamaa zake binafsi-kiongozi lazima uwe good comforter.
Kuna wakati nawashangaa watu kama wewe. Ktk nchi hii siasa si kazi ya lazima. Kama shida ni kubwa kiasi hicho unachoeleza, kwa nini hawaachani na siasa? Kinachowavutia kuendelea na siasa ktk mazingira kama hayo ni juu yao, Iwe ni ushujaa au ujinga wao, ni juu yao!!

Usitupotezee muda kusimulia mikasa isiyotuhusu, sisi hatukuwatuma kuwa wanasiasa! Au unadhani wanatupigania? Kwahi hawajui kuna kazi zingine Zaidi ya siasa? Kuna mtu hapa katoa mfano wa wakulima, mbona jua likiwaka wanaachana na kilimo na kuanza kufuga mbuzi? Iweje kwa upuuzi wao uanze kutusimulia utadhani waliumbwa ili wawe wanasiasa? Trash!
 
MATAGA wana roho ya ibilisi haya unayosema yanaingia sikio hili yanatokea kule, Huwa unaweza jiuliza hawa ni Watanzania ama wanyarwanda?
 
Kuna wakati nawashangaa watu kama wewe. Ktk nchi hii siasa si kazi ya lazima. Kama shida ni kubwa kiasi hicho unachoeleza, kwa nini hawaachani na siasa? Kinachowavutia kuendelea na siasa ktk mazingira kama hayo ni juu yao, Iwe ni ushujaa au ujinga wao, ni juu yao!!

Usitupotezee muda kusimulia mikasa isiyotuhusu, sisi hatukuwatuma kuwa wanasiasa! Au unadhani wanatupigania? Kwahi hawajui kuna kazi zingine Zaidi ya siasa? Kuna mtu hapa katoa mfano wa wakulima, mbona jua likiwaka wanaachana na kilimo na kuanza kufuga mbuzi? Iweje kwa upuuzi wao uanze kutusimulia utadhani waliumbwa ili wawe wanasiasa? Trash!
This is rubbish.
 
Halafu bila aibu unajiita Patriot? Patriot gani wewe usiyejali yanayowasibu wananchi wenzako?

Amandla...
 
Changamoto ni kwamba wanadhan kila Mtanzania ana akili za kushikiwa.
MATAGA: Alafu upumbavuwao eti wanauliza "nani kati ya mtanzania yeyote akipewa ubunge bure atakataa?"

WANANCHI: Nyerere angekuwa na akili kama hizi zenu MATAGA , wote mngekuwa mnafua chupi na kuwatawadha wadosi.
 
Halafu bila aibu unajiita Patriot? Patriot gani wewe usiyejali yanayowasibu wananchi wenzako?

Amandla...
Hadithi inabaki pale pale! Nchi hii siasa siyo kazi ya kulazimishwa. Ukipata taabu achana na siasa. Wangapi wanafundisha watoto wetu, hawalipwi mafao yao lakini hatuwasaidii watu muhimu hawa? Kwa nini tuhangaike na watu wasio productive? Wanasiasa wanatuteka akili, tunaanza kuwatetea na kuandamana utadhani ni kazi muhimu. Stop this nonsensical thinking!
 
Niko huru kuandika ninachojiskia kama nakuboa na michango yangu tapika tuu, i dont give a damn what you think of me,keyboard warrior or not...simply msiniwekee usiku
1st Usi panic..
2nd huniboi u r being responded according.So relax mkuu.Tuko pamoja
 
Back
Top Bottom