Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

Miaka 15 ya jasho na damu ..saa nyingine Lupango..mahakamani...nyie mmetulia tulii majumbani kwenu.. tokeni kwenye comfort zone mvae viatu vyake hata mara moja mtaona alivyo jasiri
Halima hana hata chembe ya ujasiri mbele ya aina ya siasa zinazofanywa na sisiem kwa kutumia taasisi nyeti za kiserikali. Huo ujasiri wa halima unaouzungumzia unatokana na nguvu na imani ya wanachama wa chama chake walioamua kusimama nae ili afikie malengo yake ya kisiasa, na kumbuka ndio walimpigia kura kwa hiyo miaka 15 unayoisema ili awe mbunge, hivyo halima alisonga mbele akijua ana watu nyuma yake! Dada rebeca umekuwaje leo? Kuwa na mapenzi na watu flani kusituzue kuwakosoa pale wanapokengeuka.
 
Profesa Jay mzee wa mitulinga kaonewa tu alikua chanya sana tu na hii siasa ya ukodombwi-
Namuunga mkono na miguu prof jay kuliko babutale na gwajima na mwana fa
 
mbona kwenye hati ya makubaliano ( nimeiona ) imeandikwa atapewa unaibu waziri , unataka apewe cheo zaidi ya hicho tena ?
 
Kufuga wasaliti na kufukuzwa wasaliti kipi Ni kukomaa?
 
Samahani mkuu. Wewe ni Godbless Lema wa Chadema?!
 

Kupigwa!!

Kupigwa kwa mtu kama Halima huwa psychological tu, not physical harm... kwamba kwa heshima yake hata akisukumwa tu atashauti kuwa ameteswa sana.

Kulala selo vile vile, kwenye kazi zetu hata sisi tumelala sana na walau yeye kazi yake nono.

Lakini, baada ya kufanya aliyoyafanya... hana kinga za kuendelea kuwa considered jasiri.

You toil a long way to build your reputation, only to destroy it in a second.
 
Dah aisee we jamaa ni muongo Mpaka unatia kinyaaa
Hao wabunge wote wako mbweni kwa Mdee Tena wanalazimisha Mdee akaongee na press aseme kila kitu

Wabunge wako strong Sana

Na wamekodi ukumbi pale kempisk kwa ajili ya press yao

Sasa ww hayo madudu unayosema umesikia wapi?
 

Yaani maana watu walikua wameshaanza kusahau maswala ya uchaguzi na fitina zake ila hili jambo linazidi onesha jinsi ganj ccm walivyokosa utiifu na katiba.
 

Aya
 
HAAAA HAAAAA. KWA SASA MNAHAHA NA MAAMUZI YENU YA KUWAKANDAMIZA WAMAMA HAO. HAYO NDOMADHARA YA KUFANYA MAAMUZI UKIWA UMEPANIKII. NABADO NGOJA WAMAMA HAO WATEME NONDO ZAO NA MAKOMBORA YAO, BILASHAKA MANAWAJUA VIZURIII TULIENII.

Wao sio wa kwanza kutema nondo hilo lipo linategemewa
 
Ndo unaambiwa washagawanyika tayari
 
Jamani mimi Niko Kyela weekend hii , huyo dada wa Mbeya kama ndo yeye wanasema watamloga eti walimchangia Kyela na Tukuyu sasa kawasaliti Wanyakyusu uku tukuyu na Kyela bora apeleke ngombe akachinje kuomba msamaha
Heshima kwenu Wanyakyusa.

Dharau ya kiwango alichoonyesha huyo bibie hakivumiliki kwa watu wa Kyela. Naifahamu vyema misimamo ya watu wa Mbeya, They are very consistent.!
Aombe msamaha kwa 'kugalagala' kwenye vumbi la sivyo KARMA haimuachi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…