Haiwezekani wote wakawa waajiriwa lakini wapo walioajiriwa na tulioamua kujiajiri kivyetuvyetu TUPO. Tupo wanafunzi wa Mkulu.Inawezekana wengi waliishia kuwa wavuvi
NENOMletamada..Kabla hujauliza swali, tuambie kwanza.....ni mrija upi uliobanwa kwako? Wizi, ukwepaji kodi, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa? Tuanzie hapo kwanza
nadhani pia mlimuombea hadi amekua rais huwa anasisitiza "muniombee"Alikuwa Mwalimu bora na akifundisha kemia lazima uelewe kweli kweli.. maana alikuwa ni msema kweli na akikuambia utafeli lazima ufeli...
Ye mwenyewe ana 50 saa aliwafundisha walikuwa age ykeNadhani wengi wao kwasasaivi watakuwa ni wazee above 50
Bosi Mimi nilikuwaga bweni la wajanja Mkwawa karibu na chaka, niliwahi kupigwa suspension baada ya kukutwa nimejificha 'Room7' na wenzangu mida ya class, nakumbuka mwaka 2002 kwenye graduu ya form6 alialikwa Magufuli (kipindi hicho waziri kijana) kama mgeni rasmi akatupiga changa la macho atatuletea TV kubwa, hadi natoka sikuiona. Sesesco bonge la shule sema migomo ilifanya iharibike, mabweni yote hayana vioo madirishani, binafsi nilisoma miaka miwili (2002-2003) wazazi walipohamia Songea kikazi wakanihamishaKabla hatujaanza kuchangia tujuzane kwanza ya Sengerema kipindi hicho HM Matu, kwa waliofikia mabweni ya Milambo au Kibasila na wapenzi wa kujifichà Chaka ambako ukionana na Mwalimu CHILIMILA utasafisha seawage wiki nzima. Kama huyajui haya wewe siyo wa SESESCO usichangie.
Uchumi mbovuMletamada..Kabla hujauliza swali, tuambie kwanza.....ni mrija upi uliobanwa kwako? Wizi, ukwepaji kodi, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa? Tuanzie hapo kwanza
Watoke wapi.Ina maana hamna
Watakuwa wanaona aibuIna maana hamna
Hawa wanaweza kutueleza ukweli wa mamboMwaka 1982 hadi 1983, Rais Magufuli alikuwa Mwalimu Shule ya Sekondari Sengerema akifundisha masomo ya Kemia na Hisabati.
Kwa wale mliobahatika kufundishwa na JPM mje hapa mtueleze uwezo wake wa kufundisha ulikuaje?
Na ni kwanini alifundisha kwa mwaka mmoja tu?
Kusitishwa kwa ajira zaid ya mwaka mzma! Graduate mtaani bachelor ni sawa na std 7, full kudharaulika mtaani!Mletamada..Kabla hujauliza swali, tuambie kwanza.....ni mrija upi uliobanwa kwako? Wizi, ukwepaji kodi, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa? Tuanzie hapo kwanza
Wenzie wakidai mshahara mnono anawaambia acha kaziHakunifundisha,ila nilipata yafuatayo,he had no permanent friend,busy most of the time,alikuwa analalamika mshahara mdogo ndo maana alifanya maamuzi ya kujiendeleza ili apate mshahara mnono zaidi🙁
Kwa hiyo hayo machungu ya mshahara wake analipiza sasaAlienda kusoma,kabla hajatimiza vigezo mshahahara ukasimamishwa