Lainisha fuvu lako kwanza mkuu mbona hakuna hesabu ngumu.Na hesabu ngumu kuliko zote duniani ni ipi na hiyo hesabu inakuwa ngumu ikitafuta kitu gani?
Mi pia nina mtazamo kama wako! Kwa sababu kuna mambo mengine unaona kabisa kuwa kwa akili ya kawsida ya binadamu ni vigumu sana.Kiukweli kuna vitu MUNGU aliweka ndani ya watu na kila mtu anakitu chake cha tofauti.
Hesabu ni baadhi ya hivyo vitu alafu waliotunga vilikuwa vinakuja tu kichwani mwao na kuviandika.
Kinachonifanya niamini vimetoka kwa MUNGU madaraja na miundombinu wanatumia mambo hayo hayo ya trig na yanakuwa kweli.
#Ni mtazamo wala sio sheria
Kila kitu linatumika penye uhitaji.... Ukiwa Bara Huwezi ona matumizi ya nanga... Mpka uwe bahariniSioni matumizi ya hesabu kama trigono ratio au logarithim ktk maisha ya kawaida. Yaan zinatumika wapi?