Waliohamia CCM toka upinzani hawawezi ongoza kura ya maoni CCM labda Kwa kubebwa na Rais tu hata wakishindwa.

Waliohamia CCM toka upinzani hawawezi ongoza kura ya maoni CCM labda Kwa kubebwa na Rais tu hata wakishindwa.

Tozo

Senior Member
Joined
Aug 23, 2021
Posts
118
Reaction score
270
Hii wanapaswa kulijua mapema. Msigwa, Bulaga, Matiko n.k. Msihangaike hata kutumia pesa kwenye kampeni.
 
MCH. Peter Msigwa ana hata hiyo pesa ya kuhongaa Sasa!!!
 
Tupate katiba mpya tu,hakuna mwanasisa anaempambania M,tanzania wa chini,wengi wanapigania maslahi yao tu
 
Back
Top Bottom