Tetesi: Walioigiza mazishi ya CHADEMA wafa kwa ajali

Tetesi: Walioigiza mazishi ya CHADEMA wafa kwa ajali

The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
822
Reaction score
2,095
Taarifa kutoka mkoani Songwe zinaeleza kuwa Mwenyekiti wa UVCCM kata ya Maporomoko, na kiongozi wa Green guard wilaya ya Momba wamefariki kwa ajali baada ya kugongwa na gari wakiwa kwenye pikipiki, ikiwa ni miezi miwili tu tangu waliposhiriki igizo la kuizika Chadema kwenye jeneza na kuweka msalaba wakimshirikisha Dr.Tukia Akson lililofanyika mjini Mbeya.

Vijana hawa pia wanatuhumiwa kumpiga Mwenyekiti wa Chadema kata ya Maporomoko mzee Nsinge Nsinge (70) na kumjeruhi maeneo mbalimbali ya mwili hali iliyosababisha mzee huyo kulazwa hospitalini Tunduma kwa siku tatu. Tukio hilo liliripotiwa kituo cha Polisi Tunduma lakini vijana hao hawakuchukuliwa hatua zozote.

September 19 mwaka huu watu wengine wawili akiwemo Mwenyekiti wa CCM Ilala walifariki kwa ajali mkoani Morogoro wakitokea Mbeya kwenye shughuli za kisiasa ambapo pamoja na mambo mengine walishiriki kwenye igizo hilo la kuizika Chadema kwa mazishi rasmi ya kikristo na kufanya maombolezo.
 
Ogopa sana nguvu ya msalaba. Mungu hadhihakiwi hata kidogo
 
Tunamshukuru sana JEHOVA sasa ni bado TULIA, baba fanya haraka uje
 
Wafe tu na wengine wengi walioshiriki huo upuuzi.
 
Screenshot_20190806-124009.png
 
Mauaji hayo wamefanya CHADEMA hakika si mwingine
 
Back
Top Bottom