Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la bahari nyeusi.Hatimae imekuwa kimya kabisa.Na mengi mengineyo.
Kuhusu Kursk inawezekana kweli kuna askari wamefika lakini wote waliofika hawataweza kutoka tena wachilia mbali kufungua ofisi.
Kuhusu Kursk inawezekana kweli kuna askari wamefika lakini wote waliofika hawataweza kutoka tena wachilia mbali kufungua ofisi.