Walioingia Kursk hawawezi kutoka hata mmoja.Ukraine iwache kutuzuga.

Walioingia Kursk hawawezi kutoka hata mmoja.Ukraine iwache kutuzuga.

Ila mwenzie kapata mtaji wa kumega pande la nchi
Ukraine anaendelea kuimega urusi Kwa Kasi ya umeme

It is reported by Ukrainian sources that the Armed Forces of Ukraine are attacking the village of Zhuravlivka in the Belgorod region and trying to enter the village.
1723803555609.jpg
 
Ukraine anaendelea kuimega urusi Kwa Kasi ya umeme

It is reported by Ukrainian sources that the Armed Forces of Ukraine are attacking the village of Zhuravlivka in the Belgorod region and trying to enter the village.View attachment 3071638
Teh una mega unachukua kakijiji size ya kijiwe cha kuvutia jani.......hapo mtafurukuta na mtatuma supplies zenu za muhimu mwisho wa siku workdone =0 naona mmeamua kuvuta kasi kabla Trump hajaingia
Screenshot_20240816-120032_Telegram.jpg
Screenshot_20240816-120107_Telegram.jpg
 
Tujikumbushe:
Huyu Superpower wenu wa mchongo si ndio alidai angechukua Kyiv kwa siku 3.Akiingiza vifaru na Magari ya deraya, umbali wa kilometa 60.Sasa vita vimehamishiwa nyumbani kwake 🤔
 
Tujikumbushe:
Huyu Superpower wenu wa mchongo si ndio alidai angechukua Kyiv kwa siku 3.Akiingiza vifaru na Magari ya deraya, umbali wa kilometa 60.Sasa vita vimehamishiwa nyumbani kwake 🤔
Kikubwa kawamega na vita imeimarisha uchumi wake huku nchi nyingi mfano ujerumani uchumi unaporomoka.....Mungu mkubwa......hiii vita hata ichukue miaka 10 zaidi ,,ulaya watakua makapuku kuliko hata urusi
 
Wenzio wanaongelea facts, wewe unaongelea hisia. Uwe unafuatilia mambo kwa weledi siyo kwa hisia na mihemko ya unachokitaka.

Ni kweli kuwa Urusi ina jeshi kubwa zaidi, na bila shaka silaha nyingi zaidi, na pesa nyingi zaidi, LAKINI hiyo haijaondoa ukweli kuwa imeshindwa kuipiga Ukraine. Ndiyo maana unaona kila mara mpaka inafanyika mipango ya kubafilishana askari mateka. Hiyo ina maana kuwa Russia kuna wakati inazidiwa kiasi cha askari wake kujisalimisha.

Tena kabla hata ya msaada wowote kutoka nchi za Magharibi, ikiwa inatumia askari wenye ujuzi wa juu, Urusi iliingia Kiev, ikakimbia baada ya kupoteza askari wengi, tofauti na plan yake ya kumaliza vita ndani ya siku tatu.

Mtaalam mmoja wa vita aliwahi kusema kuwa unapoanzisha vita, unajua itakavyoanza, lakini huwezi kujua itakavyokwisha. Na ndiyo kinachowatokea Russia. Wanajua tarehe waliyoanza vita lakini hawajui itaisha lini na itaisha kwa namna gani.
Sio kweli iliondoka Kiev baada ya askari wengi kufa, ila baada ya makubaliano ya Instabul March 2022 Urusi wakaiachia Kiev as good will ya makubalianilo ila soon Zelenskyy alienda kwenye media na kuongea tofauti. Unakumbuka ishu ya Bucha?
 
Na mrusi hapendi kupiga sehemu ambazo raia wapo,,,,alipokua anaingia kiev askari wa Ukraine wakawa wanajificha kwa raia,,,Putin angekua na akili kama za Netanyahu angeua kila mtu pale ,,,,,jamaa anajua anachofanya......ona sasa Hamas kamjambisha kidogo tu Israel akaua hadi raia wasio na hatia,,,,,,,wamagharibi ni barbarians hawaja staarabika japo wanazuga kama vile wana utu
 
Tujikumbushe:
Huyu Superpower wenu wa mchongo si ndio alidai angechukua Kyiv kwa siku 3.Akiingiza vifaru na Magari ya deraya, umbali wa kilometa 60.Sasa vita vimehamishiwa nyumbani kwake 🤔
Aliahidi lini na wapi?usifanye kila mtu kuwa hana akili yaani urusi ajue anapigana na NATO nzima alafu asema hivyo?
 
Hii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la bahari nyeusi.Hatimae imekuwa kimya kabisa.Na mengi mengineyo.
Kuhusu Kursk inawezekana kweli kuna askari wamefika lakini wote waliofika hawataweza kutoka tena wachilia mbali kufungua ofisi.
Acha porojo jana russia wamelalamika sana Ukraine kuingia russia wakasema ni nguvu ya west na sasa wataanzisha vita ya 3 ya nuclear.

mzahamzaha mkuu ndio inaenda kumugarimu Putin maisha yake yote. Jana urusi imelazimika kuwaondoa raia kule Kurks zaidi ya laki mbili, kama ni joto na yeye aanze kulipata
 
Na mrusi hapendi kupiga sehemu ambazo raia wapo,,,,alipokua anaingia kiev askari wa Ukraine wakawa wanajificha kwa raia,,,Putin angekua na akili kama za Netanyahu angeua kila mtu pale ,,,,,jamaa anajua anachofanya......ona sasa Hamas kamjambisha kidogo tu Israel akaua hadi raia wasio na hatia,,,,,,,wamagharibi ni barbarians hawaja staarabika japo wanazuga kama vile wana utu
Huo ni ukweli media za West zinajaribu kumchora vibaya Putin lakini jamaa yupo smart Sana kuliko West nzima kiuchumi anazidi kurecover kutokana na vikwazo alivyowekewa
 
Hii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la bahari nyeusi.Hatimae imekuwa kimya kabisa.Na mengi mengineyo.
Kuhusu Kursk inawezekana kweli kuna askari wamefika lakini wote waliofika hawataweza kutoka tena wachilia mbali kufungua ofisi.
Kinachokuuma nini kama siyo kiherehere tu. Wao wapiganie nchi yao wewe ulalamike eit waache kukuzuga; wewe ni nani. Pambania maisha yako na wewe uache kuangalia mambo ya wenzako tu
 
.

Tena kabla hata ya msaada wowote kutoka nchi za Magharibi, ikiwa inatumia askari wenye ujuzi wa juu,
Hao askari wenye ujuzi wa Hali ya juu Kwa nini wasitumike kukomboa maeneo mengi ya Ukraine yaliyotekwa na Urusi? Utumie askari wenye ujuzi wa Hali ya juu Kwa ajili ya kuteka eneo dogo huku ukiacha kukomboa maeneo mengine yenye km² nyingi. Hizo akili au matope?
Urusi iliingia Kiev, ikakimbia baada ya kupoteza askari wengi, t
Babu acha uongo, Russia haijawai kukimbia Kiev bali makubaliano ya Turkey-Mach 2022-chini ya Recep Tayyip ErdoÄŸan, ndiyo yaliyofanya Russia kuhamisha Mashambulizi.

Russian and Ukrainian negotiators have concluded a round of peace talks, with both sides expressing cautious optimism. Russia says it will reduce some military activity "to increase mutual trust."

Following the announcement that Russia would decrease its military activities around Kyiv and Chernihiv, Russian lead negotiator Vladimir Medinsky clarified that this did not amount to a cease-fire.

Soma hapa kama nitakuwa nimenukuu vibaya.
ofauti na plan yake ya kumaliza vita ndani ya siku tatu.
Tuletee hapa hiyo plan ya Putin kumaliza vita Kwa siku tatu.
Mtaalam mmoja wa vita aliwahi kusema kuwa unapoanzisha vita, unajua itakavyoanza, lakini huwezi kujua itakavyokwisha. Na ndiyo kinachowatokea Russia. Wanajua tarehe waliyoanza vita lakini hawajui itaisha lini na itaisha kwa namna gani.

🙉🙉🙆🙆
 
Back
Top Bottom