Ukraine mipango ya vita ni F,hyo nguvu aliyotumia hapo Kursk angeitumia kurudisha maeneo yake yaliyotekwa.Wameanza lalamika kuwa Putin kaleta wanajeshi wengine na ratio ni mmoja kwa Tano, walitegemea atawatoa waliopo Front kisha warud Kursk, alichofanya kapeleka reserve. Wameanza tafutana watoke vipi.
Tuwekee source mkuu nasi tusome hii taarifaWameanza lalamika kuwa Putin kaleta wanajeshi wengine na ratio ni mmoja kwa Tano, walitegemea atawatoa waliopo Front kisha warud Kursk, alichofanya kapeleka reserve. Wameanza tafutana watoke vipi.
Kati ya 12,000 na 15,000.wamefungua na ofisi
ina maana hao wanajeshi wapo wangapi hapo kursk
Wenzio wanaongelea facts, wewe unaongelea hisia. Uwe unafuatilia mambo kwa weledi siyo kwa hisia na mihemko ya unachokitaka.Hii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la bahari nyeusi.Hatimae imekuwa kimya kabisa.Na mengi mengineyo.
Kuhusu Kursk inawezekana kweli kuna askari wamefika lakini wote waliofika hawataweza kutoka tena wachilia mbali kufungua ofisi.
Tatizo huna weledi wowote wa masuala ya kivita.Ukraine mipango ya vita ni F,hyo nguvu aliyotumia hapo Kursk angeitumia kurudisha maeneo yake yaliyotekwa.
ustaz naona umecharuka kabisa ,tulia mambo magumu hayaHii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la bahari nyeusi.Hatimae imekuwa kimya kabisa.Na mengi mengineyo.
Kuhusu Kursk inawezekana kweli kuna askari wamefika lakini wote waliofika hawataweza kutoka tena wachilia mbali kufungua ofisi.
Hii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la bahari nyeusi.Hatimae imekuwa kimya kabisa.Na mengi mengineyo.
Kuhusu Kursk inawezekana kweli kuna askari wamefika lakini wote waliofika hawataweza kutoka tena wachilia mbali kufungua ofisi.
Wewe unajuaje? Sio unabii uchwara huo.Hii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la bahari nyeusi.Hatimae imekuwa kimya kabisa.Na mengi mengineyo.
Kuhusu Kursk inawezekana kweli kuna askari wamefika lakini wote waliofika hawataweza kutoka tena wachilia mbali kufungua ofisi.
Una point ila kusema Russo walipanga kumaliza smo ndani ya siku tatu Ni uongo.Wenzio wanaongelea facts, wewe unaongelea hisia. Uwe unafuatilia mambo kwa weledi siyo kwa hisia na mihemko ya unachokitaka.
Ni kweli kuwa Urusi ina jeshi kubwa zaidi, na bila shaka silaha nyingi zaidi, na pesa nyingi zaidi, LAKINI hiyo haijaondoa ukweli kuwa imeshindwa kuipiga Ukraine. Ndiyo maana unaona kila mara mpaka inafanyika mipango ya kubafilishana askari mateka. Hiyo ina maana kuwa Russia kuna wakati inazidiwa kiasi cha askari wake kujisalimisha.
Tena kabla hata ya msaada wowote kutoka nchi za Magharibi, ikiwa inatumia askari wenye ujuzi wa juu, Urusi iliingia Kiev, ikakimbia baada ya kupoteza askari wengi, tofauti na plan yake ya kumaliza vita ndani ya siku tatu.
Mtaalam mmoja wa vita aliwahi kusema kuwa unapoanzisha vita, unajua itakavyoanza, lakini huwezi kujua itakavyokwisha. Na ndiyo kinachowatokea Russia. Wanajua tarehe waliyoanza vita lakini hawajui itaisha lini na itaisha kwa namna gani.
Nato walikua na habari za uvamizi ukraine muda sana kabla ya jambo,na hawakutazama tu kusubiri kuona itakuwajeWenzio wanaongelea facts, wewe unaongelea hisia. Uwe unafuatilia mambo kwa weledi siyo kwa hisia na mihemko ya unachokitaka.
Ni kweli kuwa Urusi ina jeshi kubwa zaidi, na bila shaka silaha nyingi zaidi, na pesa nyingi zaidi, LAKINI hiyo haijaondoa ukweli kuwa imeshindwa kuipiga Ukraine. Ndiyo maana unaona kila mara mpaka inafanyika mipango ya kubafilishana askari mateka. Hiyo ina maana kuwa Russia kuna wakati inazidiwa kiasi cha askari wake kujisalimisha.
Tena kabla hata ya msaada wowote kutoka nchi za Magharibi, ikiwa inatumia askari wenye ujuzi wa juu, Urusi iliingia Kiev, ikakimbia baada ya kupoteza askari wengi, tofauti na plan yake ya kumaliza vita ndani ya siku tatu.
Mtaalam mmoja wa vita aliwahi kusema kuwa unapoanzisha vita, unajua itakavyoanza, lakini huwezi kujua itakavyokwisha. Na ndiyo kinachowatokea Russia. Wanajua tarehe waliyoanza vita lakini hawajui itaisha lini na itaisha kwa namna gani.
Sema ukweli kua lengo la Ukrein halijafanikiwa, Bali Russia kapeleka wanajeshi wengine kabisa, ambao ni Wagner, akhamat na group 0. Nahili limefanya Russia kusonga mbele zaidi maeneo mengine.Tatizo huna weledi wowote wa masuala ya kivita.
Ukraine imepeleka vita ndani ta Russia ili Russia ipunguze askari ndani ya Ukraine, waende kuilinda Russia. Wanajeshi wa Urusi wakipungua ndani ya Ukraine, inapunguza maafa na kujenga mazingira ya kukomboa baadhi ya maeneo kwa urahisi.
Kwa hilo tayari wamefanikiwa. Ryssia imebudi kuelekeza nguvu zake Kursk. Kwa mara ya kwanza kuna maeneo ya Ukraine ambayo Russia ilikuwa inayashambulia kila siku, lakini kwa sasa yana zaudi ta siku 5 hayajapata shambulio lolote.
Ofisi hata kijiwe cha kubrashia viatu ni ofisi piawamefungua na ofisi
ina maana hao wanajeshi wapo wangapi hapo kursk