Walioingia Kursk hawawezi kutoka hata mmoja.Ukraine iwache kutuzuga.

Upo sahihi kabisa....

Ukraine wametumia akili nzuri sana kupeleka vita kwa mvamizi
 
Halafu Russia haiwezi kupiga makombora ya maangamizi ndani ya ardhi yake. Italazimika kupeleka vikosi vya wapiganaji wake mahiri kukabiliana na wa Ukraine ana kwa ana.

Hicho ndicho Ukraine wanafanya ku-draw out Russian combat forces for a face to face duel badala ya Russia kupiga makombora Kiev na miji mingine nje ya combat zone ili kuwahangaisha Ukraine wakate tamaa ya mapambano. Sasa watalazimika kuelekeza nguvu nyingi kwenye battle front.
 
Unaonekana umepanic... Ukweli utabaki ukweli ukrane yuko russia kursk.... Sio mdoto ni kweli[emoji23]
 
Vipi mwisho wao bado?
 
Kikubwa kawamega na vita imeimarisha uchumi wake huku nchi nyingi mfano ujerumani uchumi unaporomoka.....Mungu mkubwa......hiii vita hata ichukue miaka 10 zaidi ,,ulaya watakua makapuku kuliko hata urusi
Porojo za vijiwe vya kahawa ukishushia na kashata kwa wavaa vipedo, misuli na makobazi huko Buza kwa mpalange. Kursk ipo chini ya Ukraine. Karibu 1200 square kilometers, 82 settlement. Huyo Superpower wenu wa mchongo akomboe hilo eneo kwanza πŸ€”
 
Wacha weee.....cross dresser Zelensky angeweza hayo si angetembea uchi hadi marekani
 
Porojo za vijiwe vya kahawa ukishushia na kashata kwa wavaa vipedo, misuli na makobazi huko Buza kwa mpalange. Kursk ipo chini ya Ukraine. Karibu 1200 square kilometers, 82 settlement. Huyo Superpower wenu wa mchongo akomboe hilo eneo kwanza πŸ€”
Mfa maji
 
Kumbe na wewe uko mstari wa mbele! Kwa sasa mmewazingira wote, nini? Tupe habari.
 
Porojo za vijiwe vya kahawa ukishushia na kashata kwa wavaa vipedo, misuli na makobazi huko Buza kwa mpalange. Kursk ipo chini ya Ukraine. Karibu 1200 square kilometers, 82 settlement. Huyo Superpower wenu wa mchongo akomboe hilo eneo kwanza πŸ€”
Watu wanakimbia mchupi wa nandi mkononi
 
Ukweli ni kwamba Putin alisema hapigani vita na Ukraine bali anafanya "Operation" ya kuondoa utawala wa "Neo Nazi" nchini humo kwa muda wa siku tatu (72 hours). Leo ni mwaka wa pili and still counting.....! Je, una ubavu wa kusema Ukraine wanajifaragua au wanapambana!? Kumbuka Urusi aliishawahi kuivamia Finland hivyo hivyo miaka ya nyuma akashindwa kwa aibu!
 
Hebu tuwekee hapa hiyo habari ambayo Putin alisema anawaondoa kwa siku 3 na sisi tuione mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…