GODSON KITOMARY
Member
- Jun 23, 2020
- 12
- 23
Hao Jamaa inatakiwa wapewe ajira ili wazuie majambazi wengine sio kupelekwa mahakamani teknolojia haizuiliki kwa kwenda mahakamaniWalioingilia mfumo wa matokeo chuoni UDSM na IFM kupandishwa kizimbani.
Kazi kwenu mnaohusika.
Huyu sasa ndiye wa kumpa ajira kwa eababu amedhihirisha wazi kuwa anawezaWalioingilia mfumo wa matokeo chuoni UDSM na IFM kupandishwa kizimbani.
Kazi kwenu mnaohusika.
hawa ndio wenye IQ kubwaWalioingilia mfumo wa matokeo chuoni UDSM na IFM kupandishwa kizimbani.
Kazi kwenu mnaohusika.
Doesnt work that way, dunia hai operate kihivyo. Wamezingua they will pay kwa sheriaHao Jamaa inatakiwa wapewe ajira ili wazuie majambazi wengine sio kupelekwa mahakamani teknolojia haizuiliki kwa kwenda mahakamani
Hao ni wahalifu wa mtandao lazima wapewe adhabu.Hao Jamaa inatakiwa wapewe ajira ili wazuie majambazi wengine sio kupelekwa mahakamani teknolojia haizuiliki kwa kwenda mahakamani
Kwahyo sio lawyer mkuu nimebugi😁😁 sio kwel
KIUT ndiyo chuo gani hicho?KIUT iliwahi kudukuliwa mfumo WA malipo nakumbuka sikulipa tuition fees hiyo semister
Nimeishia la saba b lawyer ndio niniKwahyo sio lawyer mkuu nimebugi