Walioingilia mfumo wa matokeo chuoni UDSM na IFM kupandishwa kizimbani

Walioingilia mfumo wa matokeo chuoni UDSM na IFM kupandishwa kizimbani

Team jalalani university mbona wapo kimya wanaona aibu kukibagaza chuo chao kwa mifumo hafifu
Hizo mambo zinafanyika vyuo vyote tu, hamna kilicho salama.

Kuna bwanamdogo alichezea mfumo wa DIT akafukuzwa chuo alipobainika.

Akaenda IFM nako alikua anauchezea vyedi tu ila akataka kumaliza salama bila mawaa, japo vijana wa hovyo walimshawishi sana awarekebishie matokeo yao.
 
Watu wanadukua mifumo ya makampuni makubwa ulimwenguni,sembuse ifm?
 
Back
Top Bottom