Walioingilia mfumo wa matokeo chuoni UDSM na IFM kupandishwa kizimbani

Walioingilia mfumo wa matokeo chuoni UDSM na IFM kupandishwa kizimbani

Kampala international university in Tanzania
Kanyamwi cheupe dawa bwana
downloadfile-37.jpg
 
Kizimbani kufanyaje tena? Chuo ndio kinapaswa kujitafakari na mifumo yao weak pumbafu kabisa.
Wajinga huo mfumo wangeweza pata billions of money kwa kuuzia kampuni kubwa duniani za mifumo ya computers

Wangeambiwa wa demonstrate.kama waweza ingilia mifumo yao wakiweza wanawaambia tunauza
 
Hao ni wahalifu. Acheni sheria ifuate mkondo wake. Wakitoka huko waje na invention zao na sio kuingilia system zilizopo. On the other hand wameonyesha weakness ya hizo system- tuwajibishane.
 
Back
Top Bottom