Shukrani mkuu kwa ushauri wako, mimi pia nina project yangu japo imesimama kidogo, kwa ushauri huu nimepata nguvu na hamasa ya kujivuta taratibu.
Mkuu umetisha sanaHapana kiongozi. Hizo ni za kuinulia tu. Za msingi ziliondoka kama 2000.
View attachment 2077217
View attachment 2077219
View attachment 2077220
View attachment 2077223
View attachment 2077225
View attachment 2077226
View attachment 2077227
View attachment 2077228
View attachment 2077229
View attachment 2077230
Kwa uchache, safari ilikua hivyo mkuu.
Yupo vizuri saana!Mkuu umetisha sana
Am sure mpaka kufika July nitakuwa nafanya finishing. Tuombe uzimaNarudia tena, usikate tamaa wala kuona unachelewa.
Hizo picha zisikutishe, mambo hayakwenda haraka kama zinavyoonekana.
Baada ya kufunga mkanda wa chini, nilikaa mda mrefu tu inakaribia miezi nane.
Nilipoinua boma kufunga linter na ile mistari mitatu ya juu napo nikapitea hapo ni miaka 2. Nikaja kurudi kwa kasi hadi kuhamia sasa.
Usivunjike moyo kabisa.
Am sure mpaka kufika July nitakuwa nafanya finishing. Tuombe uzima
Hongera sana ndugu.
Nasisi God abless tutoke kwenye upangaji
Around 50m mpaka kuhamia.Ndio uliyumia million ngapi mpaka kupaua?
DOM nimefika nyumba nyingi chini zimelika.Hii imekaa vizuri mkuu. Umesema so vyema kujengea maji ya chumvi. Sisi wakazi wa Dom kwa kiasi kikubwa tuna maji ya chumvi. Unashaurije?
Tofali 5,000 nyingiHii mzee tofali 5000 sii tayari boma kwwisha?
Hongera mkuu kwa hatua hii. Daaah najiwazie mie wa buku 7 daily ntaweza kujenga kweli kama msingi tu unakula tofari buku 2!Hapana kiongozi. Hizo ni za kuinulia tu. Za msingi ziliondoka kama 2000.
View attachment 2077217
View attachment 2077219
View attachment 2077220
View attachment 2077223
View attachment 2077225
View attachment 2077226
View attachment 2077227
View attachment 2077228
View attachment 2077229
View attachment 2077230
Kwa uchache, safari ilikua hivyo mkuu.
Hongera mkuu kwa hatua hii. Daaah najiwazie mie wa buku 7 daily ntaweza kujenga kweli kama msingi tu unakula tofari buku 2!
Mkuu fundi wa kupaua amekupiga bei gani???? hebu nisaidie hilo
Weka na Location yako ulipo mkuu...Kwa anaye hitaji tiles size zote kwa bei poa 2022
Cont..0623152344
Kujenga ni technique..nilipigwa nyumba ya kwanza lakini sasa nimejifunza, kifupi jiweke kidalali sio kiboss..
1. Msingi nawauzia vibarua, tunakubaliana, alafu fundi anasimamia
2. Tofali namuuzia fundi sh 300 japo za juu wengine wanadai nyongeza kidogo
3. Kokoto, nanunua kifusi cha kokoto alafu nachambua..hapo napata kifusi na kokoto
4. Tofali nanunua 950
5. Nondo naenda scrap yard napima zilizopo alafu zile pande ndefu nanunua..
6. Grill nachukua nondo hapo hapo scrap yard nanunua bomba za pembeni tu
7. Mbao za kuezekea nachukua buguruni, ukitaka kuwaweza madalali..nenda na mwanao tu alafu mfanye yy ndio boss, waite pemben waambie nimemleta boss, watakupa bei halisi
8.Bati mara nyingi hazina shortcut
9. Tiles kama unahitaji box chache..mafundi wanazo tena konk sana
10. Wire, mafundi wanazo nzuri tu sema earth rod kanunue copper inakuwa na bei kidogo kwenye 45k kwenda juu..chini ya hapo kafukue chuma hicho
11.Nenda mwenyewe dukani
NB: Nyumba inahitaji usimamizi wako, sio ndugu au rafiki, utalaumu watu bure
Kuwa mkali sana kwenye mali zako, simamia kila eneo..