Naomba kufahamu gharama ya ufundi ya brandering , kugonga gypsum board, skim,pamoja na mikanda yake kwa chumba cha 3.5m x 3.5m na choo chake 2.5m × 1.3m. Asanteni
Mafundi mnaitwa humu, hata mimi nimechoka kupanga, nipo kwenye hatua za finishing ila mfuko hauruhusu kumalizia yote kwa mpigo. Naanza na chumba kimoja moja. Naanza ndani kwanza. Nikimaliza natoka nje. Ushauri tafadhali!