Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Nyumba sio kitu unaweza jenga kila mwaka so mambo ya kuwa cheaper sijui nondo ambazo zipo scraping yard utakuja kulia pale nyumba itakapoanza kupasuka ni bora kuwa mvumilivu na kutumia bidhaa zenye ubora unaotakiwa … kumbuka labda hiyo ndio nyumba pekee utayoweza jenga Maisha yako yote
Unajenga gorofa kwa nondo za scrap yard[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Boss hapo navuta nguvu niweke wiring ndo nifunge bod na vigae also aluminium za madirisha.
Unaweza ona kazi bado boss wangu View attachment 2041323
naomba kujua umetumia gypsum powder ngapi kuskim ndani, na nje white cementi ngapi , rangi whether guard ndoo ngapi na nyeupe ya ndani ndoo ngapi. Pia rangi ya maji ndoo ngapi kwa ajili ya kuskimmia na undercoat.
 
Mungu tutangulie mwaka hata ta tuweke michanga na mawe. Arusha ujenz wake Ni garama Sana kuliko popote pale
 
Mm ni mhandisi so fundi kwangu ilikua rahis kumcontrol na nlimlipa hela yke bila kumlalia sana! Na pia kuna baadhi ya vitu uwa vinaongeza gharama ya ujenz so nlijitahid kuviepuka as possible.
Vitu gani hivyo mkuu ambavyo uliviepuka?
 
Mimi nlianza September mwishon nyumba yenye 3bedroom including master,sebule,jiko na dinning.Nilisimamia mwenyewe kwa kununua material na kushinda site..ad kufunga linta na kupandisha coz tatu za juu nlitumia 10m
Fundi ulimlipa shingapi wa kujenga
 
Sijaelewa yaani fundi kuinua boma laki4 au umekosea au laki4 ya ufundi gani
Hizo sio exactly hesabu za ujenzi
Nimejaribu kuonesha baadhi ya hesabu nilizoweza kuandika ila sio zote
Fundi alikuwa analipwa kwa awamu
Hiyo laki 4 ni moja ya malipo aliyolipwa fundi
 
Hizo sio exactly hesabu za ujenzi
Nimejaribu kuonesha baadhi ya hesabu nilizoweza kuandika ila sio zote
Fundi alikuwa analipwa kwa awamu
Hiyo laki 4 ni moja ya malipo aliyolipwa fundi
Jumla fundi ulimpa ngapi
 
Back
Top Bottom